Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Hii hotel ipo wapiKabisa Mkuu Ni Muda mrefu Sana Tangu Embassy hotel ifungwe.Ni bora ikarabatiwe ianze kupiga kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hotel ipo wapiKabisa Mkuu Ni Muda mrefu Sana Tangu Embassy hotel ifungwe.Ni bora ikarabatiwe ianze kupiga kazi.
Dah mpk sasa usikute wamevuta bila kupata kitu.Motel Agip nilipiga mzigo miaka hiyo bado moto,watalii kibaoNakumbuka mmiliki wa majengo hayo(Embassy) alikuwa na
mgogoro na wafanyakazi wake walikuwa wanadai haki zao
na chama cha wafanyakazi CHODAWU kilikuwa kinawasimamia
wanachama wake kudai haki zao.Mpaka sasa sijui kilichoendelea
kuna kipindi wale wafanyakazi walikuwa wanakaa pale kwa zamu
kulinda mpaka haki yao itendeke.
Hayo majengo yote hayaphotoleki?
Acha kabisa Enzi za zamani hotel zilikuwa zinalipa.Mimi nilikuwa Sheraton kablaDah mpk sasa usikute wamevuta bila kupata kitu.Motel Agip nilipiga mzigo miaka hiyo bado moto,watalii kibao
Nitajie faida MOJA TU ya kiuchumi ya Hostel za wanafunzi hapo mjini kati, CBDWanaJF,
Ni jambo la kutia huzuni kuona vijana wanaangaika wanakosa hostel wakati kuna majengo yanaoza, Kama hawataki kiyaendeleza basi watangaze tenda watu wayakarabati yawe hostel za bei nafuu Serikali iendelee kupata kodi kuliko kuyaacha yakioza.
Hivi kweli Serikali haiyatambui mpaka kutelekezwa miaka yote?
Ni mali yako (Raia) chini ya usimamizi wa serikali.Hivi ni ya nani yale?
Ha ha ha...Nakumbuka mmiliki wa majengo hayo(Embassy) alikuwa na
mgogoro na wafanyakazi wake walikuwa wanadai haki zao
na chama cha wafanyakazi CHODAWU kilikuwa kinawasimamia
wanachama wake kudai haki zao.Mpaka sasa sijui kilichoendelea
kuna kipindi wale wafanyakazi walikuwa wanakaa pale kwa zamu
kulinda mpaka haki yao itendeke.
Ukitaka kujua ni ya nani ww kamwage mchanga jifanye unataka kujenga....Hivi ni ya nani yale?
Hii ppoint nimeipenda sana, hakika inawezekana sanaHizo hotel wamiliki.na wafanyakazi wanaodai mafao wangeingia ubia wa umiliki wa hizo hotel halafu kwa pamoja wakubaliane kutafuta mwekezaji mpangaji ambaye atakuwa aliwalipa wakawa wanagawana hela ya pango mfano asilimia themanini wanalipwa wafanyakazi asilimia ishirini analipwa mwenye jengo
Sijui kwann JPM hakuongelea maswala ya hoteli!Kuna ile Motel Agip Hotel pia imeachiwa imekufa hivi hivi ilikuwa bomba sana na misosi yao ilikuwa si ya kawaida.
Zama za kunyang'anyana si zimeshazikwa huko kando ya ZiwaSerikali inafanya nn katika kumnyang'anya hoteli ile