Gracious
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 1,890
- 1,082
Hebu elezea zaidi...kwamba mule pako wazi wanaingia watu wana vyotaka au?Agip Hotel Na Embassy hotel imekuwa "danguro" kwa watoto wa IFM.
Serikali imeva miwani mweusi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu elezea zaidi...kwamba mule pako wazi wanaingia watu wana vyotaka au?Agip Hotel Na Embassy hotel imekuwa "danguro" kwa watoto wa IFM.
Serikali imeva miwani mweusi.
Kweli kabisa. Wewe una kumbukumbu nzuri ya Motel Agip hasa kuhusu misosi. Hadi leo hii mimi binafsi, sijashuhudia hotel ya kiwango chake kwenye eneo la vyakula.Kuna ile Motel Agip Hotel pia imeachiwa imekufa hivi hivi ilikuwa bomba sana na misosi yao ilikuwa si ya kawaida.
Chinese restaurant pale under ground ya kitega uchumiKweli kabisa. Wewe una kumbukumbu nzuri ya Motel Agip hasa kuhusu misosi. Hadi leo hii mimi binafsi, sijashuhudia hotel ya kiwango chake kwenye eneo la vyakula.
Haiwezekani mkuu, miaka zaidi ya 30 jengo linakaliwa na bundi.Walishachukua chao mapema mkuu
Mkuu bado sijaridhika, yaani hata JPM na urudishaji wake mali za umma alikwama kuigusa? haiwezekaniHotel Hizo na Mali kadhaa za Umma zilipitia hujuma kubwa zikauzwa kwa bei chee...Hiyo ikachukuliwa na Wale jamaa wanaomiliki Wet n Wild....Lakini Imekua doro mpaka leo.
Unyonge umeanza kitamboilikuwa na hadhi sana hiyo hotel. tulikuwa tunaangalia kwa nje tu
Kitu kikiuzwa atarudishaje?mkuu bado sijaridhika, yaani hata JPM na urudishaji wake mali za umma alikwama kuigusa? haiwezekani
Jpm ndio alitaka mji uwe mchafu hivyo,enzi za nyuma posta palikuwa mahali patakatifu,sio siku hizi eti unakuta mtu yuko posta kavaa dera anachoma mihogo kwa kuni,mbele kuna benki pembeni jengo la ubalozi,zamani machinga mwisho kariakoo.mkuu bado sijaridhika, yaani hata JPM na urudishaji wake mali za umma alikwama kuigusa? haiwezekani
Hata kariakoo hakukua na machinga, maana walikua wanawindwa na migambo wa city.Jpm ndio alitaka mji uwe mchafu hivyo,enzi za nyuma posta palikuwa mahali patakatifu,sio siku hizi eti unakuta mtu yuko posta kavaa dera anachoma mihogo kwa kuni,mbele kuna benki pembeni jengo la ubalozi,zamani machinga mwisho kariakoo.
Nasubiri nione Ngorongoro mountain lodge itaangukia wapi?.Ni kati ya mali za umma zilizoangukia mikononi mwa mafisadi. Maamuzi ya kuziendeleza yalikwama siku nyingi kwa sababu wahusika wakuu kwenye huo mgogoro ni wakubwa tu wenye maslahi yao ambao waliishastaafu.
Siyo hiyo tu, Kuna nyingine mbili zilizokuwa Icône ya Jiji .... Twiga Hotel na Motel Agip zote zimepakia kuwa magofu ya Serikali....Skyway Continental zote zimebaki majina tu.