Embu tuchat wawili wawili humu

Mahindi yameisha Mkuu,nipo Bar najipongeza ili kesho tena nianze upya,maisha ni kuchagua uishi vipi na kila mtu na maisha yake,

"Weitaaaa hebu lete nyingine, hujui kua hela zangu ndio mshahara wakooo"
Siyo vizuri,kwann hunialiki....mi ungeninunulia dompo moja tu nirudi nayo skani ninywe two days
 
Upo Zulu ndo tatizo Mkuu,ivi ungekuwa karibu ningekupa salamu hata ya kupapasa mchi...
Hizo ndio salamu ,unaweza kunipa hata kwa video call na utabarikiwa sanaaaa
Kwanza uhali gani bibie??
 
Madame B eb njoo tuchat mamy nakusud vby sanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…