Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mm pia Niko fresh sanaNiko poa zaidi ya juzi na jana
Sawa sawa mkuuPoa mm pia Niko fresh sana
Drink beer save waterMambo yako hayo,,daa
Siyo vizuri,kwann hunialiki....mi ungeninunulia dompo moja tu nirudi nayo skani ninywe two daysMahindi yameisha Mkuu,nipo Bar najipongeza ili kesho tena nianze upya,maisha ni kuchagua uishi vipi na kila mtu na maisha yake,
"Weitaaaa hebu lete nyingine, hujui kua hela zangu ndio mshahara wakooo"
Sasa kama ni weweUkimbeba unitumie picha
Na ukame huu tukinywa sana maji yakuogea itakua mzozoWee,sema kweli
😎 Navaa miwani usione gereHa haa,ila we jamaa wewe
Mabaya,unanipaje salamu kavu hivyo haina hata kachumbari, mayonnaise?Mambo
ClarifyNo,impossible
Kina nani sipo Dar mimiNa mtanuka safari hii balaa
Hizo ndio salamu ,unaweza kunipa hata kwa video call na utabarikiwa sanaaaaUpo Zulu ndo tatizo Mkuu,ivi ungekuwa karibu ningekupa salamu hata ya kupapasa mchi...
Madame B eb njoo tuchat mamy nakusud vby sanaaaaKama yupo unaeshibana nae humu iwe mpenz,au rafiki embu mtag muanze kuchat chochote hata mlichofanya Jana usiku ila nas tujifunze,ikiwa mliduu,au biashara au chimbo....
Nianze na hawa Criston Cole na harakati za siri endeleeni kuchat hapa.
Kuhusu Mimi ninao wengi ivo nitatag wengi mno ila naomba nianze na dronedrake