Embu tuchat wawili wawili humu

Embu tuchat wawili wawili humu

Tigo mbona mtandao pendwa sana why unasita kuutumia?
Kisanga mkuu,hata uutumie utaambulia dharau tupu....kwanza nimefunga mjadala sikuhizi sitaki mtandao wowote maana hata voda naishia kuumia tu
 
Voda ndio wenyewe sasa, tatizo ni vifurushi kujiunga kipya kila siku ndio tabu. Chagua kimoja uwe unatulia nacho kwa mda mrefu
 
Nilimchana tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mtu wa miyeyusho sana yani ana style za kidikteta. Kaenda na machozi kwa afisa muajiri
Kumbe maneno tu kafura? 😳 bas nami nipo kufungwa safari hii...kuna Fundi cherehani kifutu Fulani Nguo imekaa kwake mwaka mzima na hela nilimpa hajashona...juzi akili zangu zikawa hazijakaa fresh nikamvalia kininja kufika pale memkuta na wateja nikaona yesss nimuumbue hapahapa nikakinukisha pale balaa afu mwishoni nikamwambia unaringa wakati kibamia tu(Ziliniponza picha alizoposti Deeppond za wanaume wale vifutu afu chamber tee)
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ fundi chereani kakimbilia upai dah noma kweli! Sema kesi hamna humo, usumbufu tu!
 
Voda ndio wenyewe sasa, tatizo ni vifurushi kujiunga kipya kila siku ndio tabu. Chagua kimoja uwe unatulia nacho kwa mda mrefu
Sijui labda,si unajua nishawahi wekwa ndani kama mama watoto hivyo kupitia matumiz ya voda iviivo ....so kuachiwa majukumu na kupandishwa kwa bei za vifurushi siamini tena kuhusu kuwekwa ndani tena....sema ili nisijiumize sana ngoja nitafute line ya mchongo ambayo itanisaidia mawasiliano mpaka nitakapochoka kuitumia
 
Back
Top Bottom