Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasije wakakufunga sasaSijui nitoroke eti
Vipi unataka uniunge leo?Anhaa,kumbe.Hongera bhana
Hahahahah mambo ya kesi huwa yanazingua sana.Nikaanza kutafuta shahidi wa kunitetea tena π
Hahahah sio swala ilimradi mawasiliano yanafanyika kwa uhuruOo,mi natumia voda
Mie nna kimeo pia nahitaji mashahidi japo sio kimeo cha jamhuri ila kuna pimbi nilimpa kubwa maeneo ya kitengoUnashangaa ushakuwa mfungwa
Tigo mbona mtandao pendwa sana why unasita kuutumia?Tigo kama Tigo....mmhh
Nilimchana tu πππ mtu wa miyeyusho sana yani ana style za kidikteta. Kaenda na machozi kwa afisa muajiriHa ha haa,hapo umevuruga aisee....ulimpa punch?
Voda ndio wenyewe sasa, tatizo ni vifurushi kujiunga kipya kila siku ndio tabu. Chagua kimoja uwe unatulia nacho kwa mda mrefuKisanga mkuu,hata uutumie utaambulia dharau tupu....kwanza nimefunga mjadala sikuhizi sitaki mtandao wowote maana hata voda naishia kuumia tu
Kumbe maneno tu kafura? π³ bas nami nipo kufungwa safari hii...kuna Fundi cherehani kifutu Fulani Nguo imekaa kwake mwaka mzima na hela nilimpa hajashona...juzi akili zangu zikawa hazijakaa fresh nikamvalia kininja kufika pale memkuta na wateja nikaona yesss nimuumbue hapahapa nikakinukisha pale balaa afu mwishoni nikamwambia unaringa wakati kibamia tu(Ziliniponza picha alizoposti Deeppond za wanaume wale vifutu afu chamber tee)Nilimchana tu πππ mtu wa miyeyusho sana yani ana style za kidikteta. Kaenda na machozi kwa afisa muajiri
ππππππππ fundi chereani kakimbilia upai dah noma kweli! Sema kesi hamna humo, usumbufu tu!Kumbe maneno tu kafura? π³ bas nami nipo kufungwa safari hii...kuna Fundi cherehani kifutu Fulani Nguo imekaa kwake mwaka mzima na hela nilimpa hajashona...juzi akili zangu zikawa hazijakaa fresh nikamvalia kininja kufika pale memkuta na wateja nikaona yesss nimuumbue hapahapa nikakinukisha pale balaa afu mwishoni nikamwambia unaringa wakati kibamia tu(Ziliniponza picha alizoposti Deeppond za wanaume wale vifutu afu chamber tee)
Sijui labda,si unajua nishawahi wekwa ndani kama mama watoto hivyo kupitia matumiz ya voda iviivo ....so kuachiwa majukumu na kupandishwa kwa bei za vifurushi siamini tena kuhusu kuwekwa ndani tena....sema ili nisijiumize sana ngoja nitafute line ya mchongo ambayo itanisaidia mawasiliano mpaka nitakapochoka kuitumiaVoda ndio wenyewe sasa, tatizo ni vifurushi kujiunga kipya kila siku ndio tabu. Chagua kimoja uwe unatulia nacho kwa mda mrefu