Eminem aongoza orodha ya Rappers wanaotoza mkwanja mrefu kwa collabo moja

Eminem aongoza orodha ya Rappers wanaotoza mkwanja mrefu kwa collabo moja

Ila Eminem amekuzwa Sana kuliko uhalisia,ana flow ya kiwaki Sana kama analazimisha rap afu rap haimpendi.hit song zake za kuhesabika ila ndio hivyo ana kismat.sijawahi kumuelewa huyu mwamba
 
Anapata show ngapi na drake anapata show ngap?
Wewe jamaa itakuwa mgeni na muziki wa USA, Eminem akisema kwa mwaka anafanya show 10 basi ujue zote zinakuwa booked na wadau, sio kwamba anakaa anasubiri show. Eminem yupo level nyingine kabisa, tafuta "WAZUNGU" waliowahi perform BET AWARDS lazima Eminem umkute. Tamasha la magiza lakini walisalute kwa mzungu yule
 
Back
Top Bottom