Eminem: Kiumbe ambacho wana hiphop wanaogopa kuwa na bifu naye, rap God

Nick Canon yeye huwa ni kutafuta attention tu, mbona alishaandaa show hadi ya University za marekani kushindana free style na Snoop

Tafuta freestyle za Snoop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anabebwa na rangi yake ndio Mana uki mdis unapotea japo anajua pia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini asibebwe Pitbull?
Eminem habebwi na Rangi Bali Rangi yake inamfanya hao blacks wasimkubali Em kihivyo sababu wanaamini Rap in kwa blacks yaani ndo kitu chao wana bifu la asili ndo man Em hapati anachostahili.
Mi nilimsikiliza Eminem nikiwa neutral bila kujali Rangi nikakubali kweli ni Rap god huyu jamaa..
Amemfanya kitu kibaya sana Jay Z kwenye Renegade kiasi keamba Nas ana appreciate kwenye dis track yake to Jay Z inaitwa Ether anasema....Eminem killed in your own shit.
Kuhusu Em hatutamaliza Leo kumzungumzia.
 
jarule alipotezwa na bifu kati yake na 50 cent nadhnai ni at a tym 50 ametoa album yake ya kwanza get rich or die tryin


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…