Eminem: Kiumbe ambacho wana hiphop wanaogopa kuwa na bifu naye, rap God

Anachopata ni kuonyesha uhodari na umahili wa kuandika mashairi.

Athari kwa mlengwa wa diss ni kushindwa kuwa na energy ile-ile ya kujibu diss kama Ja Rule na kuonekana goi-goi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyimbo yake ya "stan", hilo jina liliingizwa kwenye kamusi kwa tafsiri ya shabiki ya mwenye mapenzi/ushabiki na msanii kupindukia mpk kufikia kuvunja sheria au kufanya vitu vya ajabu, tafsiri hiyo ilitokana na kile alichorap kwenye hiyo nyimbo.

Eminem ni story teller mzuri kwenye hii nyimbo amepangilia story vizuri sana ukisikiliza au kuangalia video yake unakuwa kama unacheki short film iliyopangika vizuri sana.

Alisikika the game kwenye interview akisema" don't mess with the white boy" mwisho wa kunukuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna knachowapa wakat mgumu wadau wa hiphop kama linapokuja swala la “who is best rapper of all time”

Rappers wanatofautiana vtu vng kwenye; uhandishi,michano,midondoko(flows)...kutaja flan ni mkali kwa muda wote inawia vgumu

Eminem ni mkali kuanzia uhandishi,midondoko hadi mitindo huru ktu ambacho baadhi ya rapper nguli kabsa hawawez kabsa au hawapo vzur mfano 2pac though mimi ni shabik mkubwa sana wa Pac

kuna mtu kama common kwangu ndie mwandishi bora kabsa kuwahi kutokea kwenye hiphop, kuna mtu big small(notorious) linapokuja swala la midondoko(flows) hakuna anae thubutu kugusa moto wake (rip)

kama mtoa mada alivyona kwake Em ndiye rapper bora kwa muda wote ofcourse yupo sahihi...kwangu hawa ndo rappers bora kwa muda wote
1.Pac
2.Nas
3.Jay z
4.Em
5.Biggie
ni mtazamo tu, masela msjenge chuki[emoji1]
 

Kuna kipindi nilikuwa namuelewa lil wayne, kuna baadhi ya ngoma alikuwa anaandika mashairi mazuri, anaflow vizuri, sijui akakutana na tope gani akadumbukia huko, amekuwa hovyo hovyo! Weezy alimalizikia katika ile carter 4 kurudi nyuma, weezy wa drop the world, john n.k yule wa no love ya gwiji eminem, japo alikimbizwa lakini huchoki kuisikiliza verse yake, weezy wa kwenye miss me ya drake na nyingine kibao

Siku hizi hata mziki wenyewe si sikilizi, hawa marapa wapya unaweza kunitajia 10 na nisiambue hata mmoja, nikimisi kusikiliza mziki basi ujue ni ngoma za kitambo! Sana sana nahisi mziki nimeacha kusikliza kam 2012,13 ama 14
 
Ngoja na me nikasikilize aisee
 
Tatizo rap imekuwa mziki wa dunia na sio wa mtu mweusi ni biashara ya mabilioni duniani kama mpira vile ulivyochakachuliwa na wazungu.Hadi wachina wanarap unategemea nini?
 
Zama zina badilika afadhari hata mbele huko wana maintain kidogo bongo hip hop imekufa ukimsiliza Joh makini wa sasa sio yule wa zaman the same to AY wa CBM na AY wa zigo ni vichekesho, japo wamebaki wachache kama kina Nash MC nao hawa pewi airplay sasa hivi una aminishwa Bill Nas ndio msanii bora wa hip hop it's so funny

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivo umeshawahi kumsikia mtu anaitwa "supernatural mc(freestyle father)"...huyu ni mwamba wa miamba ya freestyle off the dome alishagawahi kuvunja recodi kwenye Guinness World Records alikuwa anafreestyle chochote utakacho mwambia chochote kilicho mbele yake kwa muda wa masaa kumi bila kurudia mistari na kila anachospit kilikuwa kinaleta maana....kwa hiyo huyo Eminem unaemzungumzia kwa hili lijamaa usimuhesabu maana ni sawa na kumlinganisha van damme na kishoka....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kubali tu ja rule alipotezwa na 50 sio Eminem maana ja aliwaambukiza mpaka wakina fat Joe akaunga na Rick ross mpka the game ..usimsahau na mkubwa jada ( kasikilize New York,https://jamii.app/JFUserGuide 50,mafia music rmx..n.k)...mpaka Sasa beef lipo japo kwa ja japo asikiki tena..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa kaimba wimbo gani tukasikilize boss?
 
jamani oneni huyu kamuweka Nay wa Mitego wa USA juu ya Eminem 👆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…