Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Huwa naona hivyo.....kulikuwa na topic ya somo la kiswahili ya kutuma ujumbe mfupi wenye uzito kwenye fax, mkuu umemaliza kila kitu.
Hata sijui mlango upi angetokea big au pac wakikutanishwa kwenye freestyle na EminemHuwa naona hivyo.....
Watu wanatangulia kukijua kifo chake.....alafu mziki ndio unafuatia.
Kuhusu EMINEM ni aina ya msanii ambaye anakupa kila aina ya radha kwenye rap....
Comedy, siasa, mapenzi, harakati, Majigambo,.....
Yaani vyote vinavyotakiwa kuimbwa.
Mkuu....Hata sijui mlango upi angetokea big au pac wakikutanishwa kwenye freestyle na Eminem
Mkuu....
Naona unamkubali Marshall sana, fungua special thread kabisa ( thread zako zote za eminem omba ziunganishwe).....
Stans wakutane.
tetea kwa hoja mkuuMkuu....
Naona unamkubali Marshall sana, fungua special thread kabisa ( thread zako zote za eminem omba ziunganishwe).....
Stans wakutane.
Iko wazi hiyo....EM ni wa kitofauti.....View attachment 1963060
THE GAME - You don't want a beef with Eminem he shreds, he shred's MC's for real... He can't be seen by no one, Jay know, everybody know. You don't mess with the white boy
50 CENT - Unfortunately for some people, it’s tough to accept that there is a white artist who does it better than black artists. It is what it is. You can have whoever you think is the best black artist, stand it in one room face to face with Eminem and he’ll eat that motherfucker alive.
Asa mi namkubali kama wewe....tetea kwa hoja mkuu
Eminrm anakurusha na word play, kabla hujatua anakupiga kifuti cha in-your-face freestyle.
Unju Bin Unuq Bin Upupu 🤣Humjui nikki mbishi
Hapo kwenye Jay Z amtoe amuweke Sir Nature, Kiroboto🐒mtoe nas mweke nikki mbishi hapo
So crack a bottle let your body waddleMkuu una mtazamo sawa na wangu....Eminem ni Greatest of All Time. Kwa hilo sinaga mjadala hata Kidogo. Kina Notorious na Pac wanakuzwa na vifo vyao tu ila muziki wao ni below Em's.
Unaambiwa Kanye alirudia kuandika verse yake mara tatu baada ya kuingia studio na kusikiliza verse ya Eminem kwenye Forever ya Drake. Em alichora verse ile ndani ya dk 10.
50 alifuta na kuandika upya verse yake kwenye Crack a bottle.
Lil wayne alihanya sana kwendana na kasi ya mshikaji kwenye Drop a world.
Mifano ni mingi sana, hao blacks wenyewe wanaujua moto wa Eminem. Alafu unaambiwa anaandikaga kutoka kushoto kwenda kulia then next line kutoka kulia kwenda kushoto, mara kutoka chini kwenda juu yaan vagalant. Msanii pekee anachora mistari kwa mtindo wa cross-multiplication. Yaani huwezi kusoma ukaelewa.
Hip hop ina vichwa ila Em ni kichwa na robo tatu
Niliiona hiyo ilikuw kwenye big Sunday live ya wasafi FMHiyo zamani na alikutana na zilla mkali kiasi chake ndo maana akatamba...lakini hata kwa lusajo mtoto wa sempa gola alikuwa hasogei.
Wewe ni naniSiwezi kuongea kwa niaba ya watu wenye asili ya africa wote wanaopenda hip hop, wawe wabongo, wamarekani weusi, waingereza , n.k, lakini wacha nitoe maoni yangu, Eminem is the goat (great of all time), hata uweke big na 2pac bado sana.
Kwangu mimi hali ni tofauti, huwa sijali rangi, nachojali ni lyrics, delivery, word play, nk, na hapa ndipo napojua hakuna msanii wa kumfikia eminem kukitendea miujiza kipaza sauti na kutumia kalamu vizuri kuandaa mlyrics amazing.
Sote tunajua hip hop ilitengenezwa na kuchochewa na watu weusi, na hapa ndipo kuna baadhi ya watu wenye hii asili wanakuwa wagumu mno kukubali uhalisia kwamba Eminem ni mzungu na anafanya poa zaidi ya rappers weusi, hisia zinatumika kupinga badala ya kutumia akili kukubali ukweli.
Laiti Eminem angekuwa ni mweusi, basi ni wazi kabisa eminem angechukua ni Michael Jackson wa Hip hop
Ukija huku kwenye mitindo huru frreestyles na cyphers, ni mnyama .
Waliowahi kuingia 18 zake wengi walipotezwa, pengine cheo sahihi cha kumpa Eminem ni "Un-beefwithable"
Mhmh kila mtu ana maoni yakeMkuu unajua Auto tune? Eminem ametoka kizazi feki na ile sio sauti yake ukimuweka live hawezi kurap vile anatumia sauti fake (Auto tune, distortion, overlap etc) ndio maana hawi regarded kama mwana Hiphop bora.
Kina rakim, 2pac, Nas, B.i.g Jay Z etc wanakuwa regarded kama bora zaidi.
Yani mkuu umeongea bonge la tope, nikekushusha hadhi sana nilijuaga unajua vitu kumbe mweupe hiviMkuu unajua Auto tune? Eminem ametoka kizazi feki na ile sio sauti yake ukimuweka live hawezi kurap vile anatumia sauti fake (Auto tune, distortion, overlap etc) ndio maana hawi regarded kama mwana Hiphop bora.
Kina rakim, 2pac, Nas, B.i.g Jay Z etc wanakuwa regarded kama bora zaidi.
Wewe ndiyo umeongea point nakutunuku[emoji966]Binafsi eminem ndio best, lakini nikiwaza walichofanya big na pac kwenye umri mdogo nakosa majibu kabisa