Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,296
- 4,697
Isije ikawa ni ile niloiona inahangaika nikajiuliza kunani...hili si suala la ushamba hata mimi ambaye nimeshasafiri sana hii sijawahi kuona...tumeelimika wengi...kwa kweli hata rubani angetoa maelezo yepi nisingemuamini...ningejua tunakaribia kuanguka. Huwa nilikuwa nafuatilia kipindi Fulani cha ajali za ndege..sina kumbukumbu kinaitwaje...nikagundua sharia za usalama huwa zinabadilika tokana na matukio ya hajali. Kuna ndege ilikuwa inaenda Canada kutoka nchi ya mbali sijuhi ilikuwa Japan au wapi...what I mean ni kuwa distance ilikuwa kubwa sana...rubani alitakiwa atue mahali aongeze mafuta; kwa kuwa alikuwa mzoefu na alitaka kuwahi familia yake akaamua kuruka moja kwa moja kwa kuwa alikuwa pia na uhakika mafuta yatatosha kwa root anayotumia...asikutane na hali mbaya ya hewa huko juu nini???? Alikuwa na option mbili apite sehemu ambayo amekatazwa mafuta yatoshe au azunguke ndege ianguke kwa kuishiwa mafuta...in short walikufa wote...na iliangukia kwao Canada...from that time ikawa ni sheria rubani hana say ya wapi atue au asitue...kama anatakiwa aongeze mafuta sehemu lazima atue.....................Kuna nyingine rubani alimpa mwanae ndege aendeshe...hii ilikuwa air France kama nakumbuka...ndege ikaanguka...basi toka siku hiyo rubani anayesafiri na familia haruhusiwi kuendesha ndege... marubani mtanisahihisha kama niko right...ni muda ila kipindi kilinivutia mpaka leo nakumbuka hayo kwa mbali....kinaelezea hajali popular zote na sababu ya hizo ajali.
Ni Air Crash Investigation cha National Geographic. Pia Discovery Channel na wao wana kipindi cha ajali za ndege na uchunguzi.