Emirates yafanya maajabu uwanja wa ndege dar es salaam


Ni Air Crash Investigation cha National Geographic. Pia Discovery Channel na wao wana kipindi cha ajali za ndege na uchunguzi.
 

Katika kipindi hicho cha Air Crash Investigation kuna siku nilikoma kuwa body ya ndege huwa inachoka, wanaita metal fatigue, kutokana na kuruka na kutua, stress ya hapo huwa inachosha body. Kuna ndege moja sehemu ya roof ilifumuka nadhani ni huko Hawaii na mhudumu mmoja wa kike alitupwa nje na kufa. Ila Kingine nilichojifunza baada ya tukio Hilo ukawa utaratibu kukagua ndege kwa kile square inch kuona kama kuna dalili zozote zile za metal fatigue. Fikiria kukagua dude kama A380!
 
Aaaaah duh humu kiboko ya vibok aiseeh,dah iv watu wanapatag wap hay majibu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
acheni ushamba wenu kwani ndege kutua na kupaa kuna ajabu gani ?mbona gari inasimama na kuondoka ?
 
Naskia marubani wa hapo jirani kq wanalewa kwanza mpk muda wa kurusha ndege.wakiambiwa wanadai we acha usilalamike utafika muda uliopangwa.ni kwamba pilot anachelewa nusu saa au zaidi akichomoa ndege anaipepeza km mabasi Akamba express na anafika muda ule ule uliopangwa au anawahi
Chanzo:niliisoma humu Jf
 
Landing programme ilikuwa haijakamilika rubani akaamua kurudi hewani kuicommand upya.ndege za kisasa ni semiautomatic rubani anacheza na kompyuta siyo manual kama za zamani nawaonea wivu marubani hawahitaji kuchezea video game kazi yao ni video game tosha.
 
Maelezo ya kitaalamu nikuwa rubanaliamua ku - "Arbort landing", Hii ni kawaida kutokea iwapo rubani amechelewa kushusha ndege na kusababisha runway kuwa fupi, ana Arbort kuzuia kitu kinachoitwa "runway overshoot" Angetua kuna kunauwezekano ndege ingepitiliza na kusimama nje ya uwanja. Ndio maana viwanja vya kimataifa mwisho wa uwanja kuna sehemu yenye mchanga ili rubani akishindwa ku Arbort ndege iweze kutitia mchangani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…