Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Kwahiyo hao kina Madaraka na uzee wao huo wanaomba hela kwa mama yao?shida kubwa sio kwanini madaraka analalamika sasa,bali ni je ni halali mtu asiye mtoto wa nyerere kulitumia jina hilo kama ubini wake.Hoja kubwa pia ni kwamba huyo steve nyerere popote anapopiga simu kuomba msaada anapokelewa haraka na kupewa kila aina ya msaada,kwa c/o ya ubini wa nyerere wakati akipiga simu madaraka ambae ndio mtoto wa nyerere watu hao hao hawapokei simu yake.Na mama maria hawapi watoto wake hata senti tano