Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Emma hawezi kujiita mtoto wa Nyerere.
Emma ni mke wa mtoto wa Joseph Nyerere.( Mdogo wake Mwalimu Nyerere).
Emma akiitwa "Emma Nyerere" ni sahihi kabisa.
Kwa sababu Sheria za nchi zinasema watu wakiishi pamoja miaka miwili inaitwa ndoa.
Hapo nadhani imetokea confusion tu walipokuwa wanatengeza hiyo poster.
Na huyo Emma Nyerere akilaumu Israel,alas,itabidi ihesabike kwamba yupo katika familia ya Nyerere.
Lakini it is not clear kwa nini Madaraka ana complain kuhusu Steve Nyerere.
Steve akitumia jina la Nyerere how has that become "alarming"?
What is alarming labda ni alivyosema Madaraka kwamba viongozi wa Serikali hawataki kuongea na sisi.
Mimi,kwa mfano,Mkuu wa Usalama wa Taifa anaweza kupita mbele yangu nisijue yeye ni nani.
CDF nilimuona Monduli siku ya maziko ya Lowassa,nikamsalimia,lakini ni baada ya two weeks ndipo nikajua kwamba nilikuwa nimeongea na CDF
Siku moja Jumapili nilikuwa napita ghetto kwenye Kanisa Katoliki.
Kulikuwa na sherehe pale.
Baadaye nikamwona mgeni rasmi anaondoka,analindwa na askari wengi.
Nikauliza,"Nani yule?"
Nikaambiwa,"Ah,yule? Yule ni IGP Wambura"
Au siku ingine tulienda kwenye msiba pale kwa Jakaya Kikwete.
Kikwete akatoka nje akamwambia yule mtu alikuwa amekaa karibu yetu,,akamwambia,"We usikae huku nje. We ingia ndani ya nyumba"
Yule mtu akaondoka.
Mi nikamuuliza mwenzangu,"Yule nani?"
Akasema,"Yule mtoto wa Sheikh Thabit Kombo."