Kwahiyo hao kina Madaraka na uzee wao huo wanaomba hela kwa mama yao?shida kubwa sio kwanini madaraka analalamika sasa,bali ni je ni halali mtu asiye mtoto wa nyerere kulitumia jina hilo kama ubini wake.Hoja kubwa pia ni kwamba huyo steve nyerere popote anapopiga simu kuomba msaada anapokelewa haraka na kupewa kila aina ya msaada,kwa c/o ya ubini wa nyerere wakati akipiga simu madaraka ambae ndio mtoto wa nyerere watu hao hao hawapokei simu yake.Na mama maria hawapi watoto wake hata senti tano
Kuna kitabu alishinda tuzo kinahusu masuala ya ujasusi wa kidola na kiuchumi ilikua DW walimpigia simu wakaongea nae kumpongeza, sasa kwenye mahojiano ndio akajitaja jina lake kamili na ubini wake halisi ila Nyerere kwenye majina yake halipo alipokua anahojiwa alielezea baadhi ya mambo alipotoka na anapoeleka ila kibaya Jina lake linabeba na jina la Nyerere kwenye ubini yaan ubini wake uliopo kwenye vyeti vyake vya primary kauchimbia wapi sijuiKama Yeriko Nyerere anatumia jina Mwalimu ebu tutajie ubini wake halisi unaoujua wewe.
Yaani mtu akiwa radical anageuka anaitwa mwehu? Mara nyingi watu wenye akili nyingi sana na wakawa radicals wanakuwa wanaonekana kama wehu mfano Huyu Tundu Lissu.Yaani Emma hadi anaogopa kutumia jina la ubini la Lwaitama
Mzee Lwaitama ajitathmini .Mimi huwa nikimsikiliza huwa naona kama yule mzee mwehu
Nafikiri Emma asaifiwe tu kisaikolojia kuwa atumie tu huo ubini baba yake mwehu lakini ndio hivyo tena hawezi kuwa na baba mwingine huyo ndie baba yake atumie tu ubini wa Lwaitama hivyo hivyo itasaidia pia jamii kujua kuwa sio akina Lwaitama wote wehu yeye zimo kichwani.Itasaidia kusafisha jina bovu la Lwaitama
Umeleta ngonjera kibao na bado umeshindwa kujibu,ebu ondoeni dhana kwamba kila anayeitwa Nyerere basi anatumia jina la Nyerere tunayemuita Baba wa TaifaKuna kitabu alishinda tuzo kinahusu masuala ya ujasusi wa kidola na kiuchumi ilikua DW walimpigia simu wakaongea nae kumpongeza, sasa kwenye mahojiano ndio akajitaja jina lake kamili na ubini wake halisi ila Nyerere kwenye majina yake halipo alipokua anahojiwa alielezea baadhi ya mambo alipotoka na anapoeleka ila kibaya Jina lake linabeba na jina la Nyerere kwenye ubini yaan ubini wake uliopo kwenye vyeti vyake vya primary kauchimbia wapi sijui
Sio ngonjera waambie hao wanaotumia Jina la Nyerere km ubini wao kupiga Pesa wafute huo ubini watumie ubini wao, sijui unaelewa?Umeleta ngonjera kibao na bado umeshindwa kujibu,ebu ondoeni dhana kwamba kila anayeitwa Nyerere basi anatumia jina la Nyerere tunayemuita Baba wa Taifa
Halafu mboni umeuliza kwa nia njema ukajibiwa vizuri ila umekuja kwa jaziba, Yeriko anaitwa Yeriko Yohanesy ila mwishoni kaongeza Nyerere Yeriko ni mzaliwa wa Iringa sio Butiama kwa hio hawezi kua na ubini wa Nyerere yeye sio Mzanaki ni aidha Mbena au MheheUmeleta ngonjera kibao na bado umeshindwa kujibu,ebu ondoeni dhana kwamba kila anayeitwa Nyerere basi anatumia jina la Nyerere tunayemuita Baba wa Taifa
Kamuulize Lwaitama kama sio mwehu kwa nini ndege ya pressicion air walishawahi kumshusha kwenye ndege kabla ya kuruka kwa nguvuWewe ndiye mwehu. Lwaitama ni maana halisi ya mzalendo. Hana makuu, hana tamaa ya madaraka wala mali. Mliozoea vya kunyonga lazima umuone mwehu.
Hata ningekua Mimi unatembelea upepo wa Mzee wangu lazima nikutoe kwenye reli acheni kua na roho za kimasikini tumieni ubini wa koo zenu zinazowahusu mlizozaliwa nazo mkakua nazo msianze kumtafuta mchawi baada ya kutumia majina ya ubini wenu si ubini wenu kwanini msipige hela kupitia ubini wenu asiliaNi wivu tu,Madaraka kashindwa kutumia jina la baba yake kupiga hela sasa anaonea wivu vijana
Siku moja nilikataliwa kusafiri kwenye ndege sababu nililewa sana wakaona naweza leta shida angani maana ilikuwa ndege ndogo haina choo hiyo haimaninishi kuwa mimi ni mwehuKamuulize Lwaitama kama sio mwehu kwa nini ndege ya pressicion air walishawahi kumshusha kwenye ndege kabla ya kuruka kwa nguvu
Hahaha tumieni ubini wenu kupiga Pesa mnang'ang'ania bini za watu ili iweje nyinyi hamna bini zenu, kuna sehemu ushawahi ona mtu anang'ang'ana kuitwa yeye ni Yesu?Naona sasa kunazuka katabia ka watu flani kuona jina flani ni haki yao kulitumia.Ukiona pombe aina ya bia zote zinaitwa bia ila kilicho ndani ni tofauti.Mfano bia aina ya Safari inaitwa bia ila hata bia aina ya Castel lite na yenyewe inaitwa bia.Ila vilivyopo ndani vyote ni bia ila kiuhalisia bia iliyopo ndani ya chupa ya safari sio bia iliyo ndani ya Castel lite.Hivyo bia ya Safari haiwezi kulalamika kwamba kwanini Castle lite nayo inaitwa bia.
Naona U-Nyerere mnataka kuugeuza kama special issue sana zaidi ya unabii.Hata manabii wenyewe mfano Selemani wapo wanaotumia jina hili lakini kiuhalisia ukiitwa Selemani haina maana you are a real Selemani.
Dini ya kiislam yenyewe wako wanaitwa Mohamed na watu wanatumia hilo jina sembuse Nyerere?
Narudia tena na tena jina halina hati miliki natamani Kibatala na Mwabukusi waingilie kati hapa lakini wao wana deal na mambo makubwa sio vitu vidogo kama hivi
Inferiority complexNaona sasa kunazuka katabia ka watu flani kuona jina flani ni haki yao kulitumia.Ukiona pombe aina ya bia zote zinaitwa bia ila kilicho ndani ni tofauti.Mfano bia aina ya Safari inaitwa bia ila hata bia aina ya Castel lite na yenyewe inaitwa bia.Ila vilivyopo ndani vyote ni bia ila kiuhalisia bia iliyopo ndani ya chupa ya safari sio bia iliyo ndani ya Castel lite.Hivyo bia ya Safari haiwezi kulalamika kwamba kwanini Castle lite nayo inaitwa bia.
Naona U-Nyerere mnataka kuugeuza kama special issue sana zaidi ya unabii.Hata manabii wenyewe mfano Selemani wapo wanaotumia jina hili lakini kiuhalisia ukiitwa Selemani haina maana you are a real Selemani.
Dini ya kiislam yenyewe wako wanaitwa Mohamed na watu wanatumia hilo jina sembuse Nyerere?
Narudia tena na tena jina halina hati miliki natamani Kibatala na Mwabukusi waingilie kati hapa lakini wao wana deal na mambo makubwa sio vitu vidogo kama hivi
Kuanzia leo nitaitwa Ambivert90 nikipiga hela utalalamika?Hahaha tumieni ubini wenu kupiga Pesa mnang'ang'ania bini za watu ili iweje nyinyi hamna bini zenu, kuna sehemu ushawahi ona mtu anang'ang'ana kuitwa yeye ni Yesu?
Wangepewa jina la Nyerere at birth sidhani kama Madaraka ange mindJina Nyerere sio Brand na wala halina hiyo unayoita 'hatimiliki'.
Kuna watu huwapa watoto wao majina ya watawala au matukio makubwa ya wakati huo, kuna kina Nyerere wengi tu waliozaliwa kipindi cha uhuru.
Makongoro Nyerere naye alipie hilo jina?
Ni mwehu utaingiaje kwenye ndege ndogo chakari wakati unajua haina choo?Siku moja nilikataliwa kusafiri kwenye ndege sababu nililewa sana wakaona naweza leta shida angani maana ilikuwa ndege ndogo haina choo hiyo haimaninishi kuwa mimi ni mwehu
🤣Ungekuwa wewe usingeomba ? . Watanzania hatuna utaratibu wa kuomba pesa kwa mama zetu kwa sababu mama zetu hawana pesaKwahiyo hao kina Madaraka na uzee wao huo wanaomba hela kwa mama yao?
Na pilato? Na Iskariote je? Mbona watu hawayatakiKuanzia leo nitaitwa Ambivert90 nikipiga hela utalalamika?
Kuhusu YESU ni utaratibu tu wa dini ya Kikristo ajili ya kifungu kutolitaja jina la bwana wako bure ila wapo watu wanaitwa Akayesu.
Kwa waislam hii sio issue kwanza ni sifa
Hata MUNGU wapo watu wanaitwa Munguatosha.