Emma siku hizi umekuwa mvivu sana, kimoja kweli?

Yohimbe bark

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2019
Posts
2,160
Reaction score
5,728
Leo nimepanda daladala naenda mjini kwenye mishe mishe, seat ya mbele alikaa mdada mmoja hivi alikuwa busy anachat kama mnavyojua macho hayana pazia nikabahatika kusoma ujumbe mmoja nanukuu" Emma siku hizi umekuwa mzembe sana yani kimoja kweli? Siridhiki ujue" asee nilijisikia vibaya kinoma mpaka tunafika mwisho wa safari Emma alikuwa bado hajajibu sms. Tufanyeni mazoezi wakuuπŸ˜‚.
 
Watu wanapitia mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…