Emma siku hizi umekuwa mvivu sana, kimoja kweli?

Sawa Mkuu.

Japo sio mbaya kwani huu ujumbe wako utawafikia na wale kina emma wa jf.
Kabisa mkuu ila nahisi nivyema zaidi mkawa mnatuambia tunapokua pamoja issue kama hizo, through sms sidhani kama ni better way.
 
Emma kachelewa kujibu maana huko alipo alikuwa busy anagombana na muuza puturuu wake kuwa anamuuzia mzigo feki.

Vijana wengi siku hizi wanafeli sababu ya kutengeneza mazingira makubwa sana kuliko uhalisia wao.

Unakuta kijana hana gari lakini ili kumu impress demu anaenda kuazima gari, akiombwa pesa na mwanamke hata kama hana anaenda kukopa na ili aonekane shabab anatumia booster kibao.

Kinachotokea sasa, siku ya kwanza anapiga show ya kibabe mno kwa msaada wa supu ya pweza, energy, mkongo, mihogo na karanga mbichi. Ikitokea mbeleni kwenye mahusiano akakosa booster uhalisia wake unajitokeza kujumlisha na athari ya ma booster anaishia kukojoa ndani ya sekunde tu.

Asilimia kubwa ya vijana wa sasa hawawezi kupiga show ya kustukizwa, lazima wajiandae kama wanaenda vitani. Akishtukizwa ndio inakuwa fedheha.
 
Fact mkuu, sema kuambia na dem humridhishi kunauma.
 
 
Sidhani km kimoja ni shida,shida ni kinachukua muda gani, maana kuridhishwa kwa hawa wenzetu ni kufika mshindo sio raundi za game 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…