Emmanuel Eboue hali mbaya, Mke amfilisi

Emmanuel Eboue hali mbaya, Mke amfilisi

Huu ndio usenge wa kumwambia mwanamke kila siri yako na kuacha kuwekeza home maana ni ngumu MTU kuja kukuonea home. Anatamani kurudi home ila aibu imemkuta.
Kuoa mzungu sio tatizo ila angewekeza zaidi home na sehemu zingine na kidogo hapo UK na ikibidi mke asingejua lolote au angejua nusu.
Nimeshangaa hakuwekeza kwao
Mfano hospital
Shule(academy)
Nyumba kali na mengine mengi
 
Mjinga anakimbilia kuoa wazungu. Hapa bong dada zetu wamejaa.
 
Haya ndio madhara ya kutowekeza. Drogba yeye kawekeza fedha zake nchini kwake, mambo yake safi.

Mbunye haijawahi kumuacha mtu salama.
upload_2017-12-24_18-54-15.png
upload_2017-12-24_18-55-15.png
 
😉🙂😡 mkuu tuhuma hizi ni nzito sana.
Ndio uhalisia nakumbuka sijui miezi mingapi imepita ndio ilikuwa habari ya mjini ,alitaka kusajiliwa na klabu yake mpya ila alifeli vipimo sababu ya ugonjwa huo

Na stress akawa anajifungia ndani sana na alijaribu kujiua
 
Weka picha yake..

mbu.nye haijawahi kumwacha mtu salama.

Anatokea nchi gani na alichezea timu ipi
Anatokea Ivory Coast na alishawahi kuchezea Arsenal na Fenebance ya Uturuki kama sikosei...
 
Alishindwa kuwekeza mali hata nyumbani kwao, laana hizo za kijinga, ni sawa na mtu anaishi mjini kwa jina kubwa lakini kijijini kwao hata kajumba hajajenga, kuna cha kujifunza hapa
 
Ndio uhalisia nakumbuka sijui miezi mingapi imepita ndio ilikuwa habari ya mjini ,alitaka kusajiliwa na klabu yake mpya ila alifeli vipimo sababu ya ugonjwa huo

Na stress akawa anajifungia ndani sana na alijaribu kujiua
Hatari sana I see. Ilikuwaje hii timu yake ya sasa wakamkubali?
 
Amefilisika na anatumia mwendo kasi kwenye misheni zake London,pia amefeli medical test kwenye klabu ambayo alikuwa asajiliwe huko cyprus kwa madai kuwa vipimo vya damu vinaonyesha ana tatizo la ugonjwa hatari lakini hawakusema ni ugonjwa gani.Habari za kuwa ana ukimwi zimevujishwa na gazeti moja huko uturuki lakini agent wake amekanusha hizo habari na kusema sio za kweli na hata kama ni kweli hawakutakiwa kuzivujisha.
 
Kuna wakati nilijutia kutokumuoa yule dada kwa sababu zisizoelezeka.
Ila kuna wakati naona heri ilivyokuwa vile, hasa zinapotokea story kama hizi.

Amini, usiamini, mweusi huwezi kuwa treated equal sawa na mzungu kwenye sheria za ulaya. Lazima utasumbuliwa tu na sheria zitakutupa.

Ajipange upya. Maana alikosea kutokumbuka home
 
Back
Top Bottom