Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,218
Si arudi kwao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndo Great Britain bana mwanamke anasikilizwa na sheria zinamlinda zaidì ya mwanaumeina maana mke wake kapewa kitu?.....mi najua mkiachana mali zinagawanywa nusu kwa nusu
Nimeshangaa hakuwekeza kwaoHuu ndio usenge wa kumwambia mwanamke kila siri yako na kuacha kuwekeza home maana ni ngumu MTU kuja kukuonea home. Anatamani kurudi home ila aibu imemkuta.
Kuoa mzungu sio tatizo ila angewekeza zaidi home na sehemu zingine na kidogo hapo UK na ikibidi mke asingejua lolote au angejua nusu.
😉🙂😡 mkuu tuhuma hizi ni nzito sana.Jamaa anaumwa ukimwi
Hajafilisika bwana sema ana stress sana
Ndio uhalisia nakumbuka sijui miezi mingapi imepita ndio ilikuwa habari ya mjini ,alitaka kusajiliwa na klabu yake mpya ila alifeli vipimo sababu ya ugonjwa huo😉🙂😡 mkuu tuhuma hizi ni nzito sana.
Anatokea Ivory Coast na alishawahi kuchezea Arsenal na Fenebance ya Uturuki kama sikosei...Weka picha yake..
mbu.nye haijawahi kumwacha mtu salama.
Anatokea nchi gani na alichezea timu ipi
Hatari sana I see. Ilikuwaje hii timu yake ya sasa wakamkubali?Ndio uhalisia nakumbuka sijui miezi mingapi imepita ndio ilikuwa habari ya mjini ,alitaka kusajiliwa na klabu yake mpya ila alifeli vipimo sababu ya ugonjwa huo
Na stress akawa anajifungia ndani sana na alijaribu kujiua
Sheria zinatofautiana katika nchi. Wenzetu wazungu ndoa ikivunjika anae pata mali nyingi ni mwanamkeina maana mke wake kapewa kitu?.....mi najua mkiachana mali zinagawanywa nusu kwa nusu