Emmanuel Mbasha amtakia heri ya kuzaliwa mtalaka wake, Flora (Mbasha) Kusekwa

Yaani, ndio mjifunze kwa Ivan, kumbe mkitendwa kidogo mnaumia hadi mna dead.. Nashukuru nilibadiligi mawazo ya kumtenda huyu wangu. Japo haikuwa kirahisi, namshukuru Mungu kumpelekesha kidogo tu, akarudi kwa line. Wanaume mna shombo sana hasa mkiwa kwenye 30s - 40s
 
Tatizo wanaume huleta kibri dharau n. k ukichoka ukamove on ndo anaona umuhimu wako. Wengi huwaacha wanawake nakuwachunia/kejeli miez au miaka baadae ndo wanagundua walikosea
ni chungu sana lakini ni dawa
 
Inshue hapà ni uvivu tu,ukiachwa sio mwisho wa maisha ,unasonga mbele ,kuna KILIMO ,biashàra ,watu kama masanja angalia anavyolima mpunga mbalali mbya
lakini wakatihuouo USA kila mwezi in kujichanganya tu
 
Kuimba hajui,alikuwa anarukaruka tu jukwaani kwenye nyimbo za mkewe
 
Kuimba hajui,alikuwa anarukaruka tu jukwaani kwenye nyimbo za mkewe
Na hilo ndio tatizo...Hata sasa sijawahi kusikia wimbo wake wowote uliotikisa
Sijui kama ana wimbo wowote...kulelewa kuna tabu sana
 
Mariooo wakiachwa huwa wanatapatapa sana aise.......yeye angetulia tu lower profile ilo
 
Huyu mtu anatuchosha sasa akamatwe na kuchapwa viboko. Anafanya kufuru kabisa. Kumtegemea binadamu mwenzako namna hii mpaka Mungu anakasirika.
 
Kwa mujibu wa maandiko ya Biblia ni dhambi ya uzinzi kuoa Mke aliachwa na mmewe bado hajafa katika LUKA 16:18.

Kitendo cha ndoa kitakachofanywa na Mke aliyemwacha mmewe na kuolewa na mwanaume mwingine ni dhambi uzinzi ikiwa Mme yu hai anaishi bado.

Jambo lililodhahiri kwa wapentekoste wote ni wanafahamu WAZINZI NA WAASHERATI WANAENDA MOTONI 100%+ kama alivyohubiri sana Mzee Moses Kulola aliyetanguliwa mbinguni kwa Mungu aliyemtumkia usiku na mchana kabla ya kuzaliwa Flora mkewe Mbasha.
 
hata sijakuelewa,hebu kunywa maji kwanza
 
kuna kale kamwimbo ka R KELLY when a woman is fed up.huyu jamaa unamfaa
 
angemtumia tu normal text n sio mpk apost insta..
 
Akiendelea kuleta uzembe atajikuta milembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…