venine
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 1,458
- 1,569
Yaani, ndio mjifunze kwa Ivan, kumbe mkitendwa kidogo mnaumia hadi mna dead.. Nashukuru nilibadiligi mawazo ya kumtenda huyu wangu. Japo haikuwa kirahisi, namshukuru Mungu kumpelekesha kidogo tu, akarudi kwa line. Wanaume mna shombo sana hasa mkiwa kwenye 30s - 40snimejaribu kufwatilia maoni mengi ya wanawake yamekaa kikatili hayana chembe ya huruma. nyie wanawake roho mbaya mmeipata wapi?
>nyie ndo kila siku mnalialia kutafuta huruma na sisi tunawafariji lakini likija swala la sisi mnauvaa ukatili.
>tutafika tuu!!!!!!