Emmanuel Tutuba ateuliwa na Rais Samia kuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT)

Thanks for admitting you made yourself difficult to understand. So please come again
 
huyu gavani ameteuliwa kwa mapenzi ya Makamu wa rais, siamini kama ana vigezo zaidi kuweza kuhudumu kama Governor.
Ngoja tuone, sometimes wajuaji sana nao wanaharibu kwa kutotaka kusikiliza. Naamini kazi kubwa ya kiongozi ni uratibu wa mawazo na kuamua nini kifanyike.
 
Nchi ipi duniani ambapo Central Bank hamilikiwi 100% na serikali? Au unafikiri BOT ni Commercial Bank?
 
Si unaona, wengine watabahatika kuila na wengine wataikuta kwenye ubwabwa na kunao watakaokosa kabisa hata kwenye ubwabwa. Watu wawe na shukrani hata kwa kuwaona wengine wakiila.
Hakuna shukran za hivyo.
 
Anachagua anaokaribiana nao daraja, mbona ye anaupigaga.
 
Nachoshwa na teuzi jamani. Madaraka ya Rais ni makubwa mno yaani mpaka inakera.
 
Nchi ipi duniani ambapo Central Bank hamilikiwi 100% na serikali? Au unafikiri BOT ni Commercial Bank?
Acha upumbavu, wapi nimeandika kuwa ISIMILIKIWE na serikali?,what's the rush?kwa nini usisome taratibu ili uelewe mchangiaji anaongea nini, hapo juu kuna mchango wangu kuwa serikali inakua major shareholder let's say 51%,President wa nchi anamteua Governor kutokana na mapendekezo ya Board of Directors ambao ndio wanawawakilisha shareholders, loooooo middle class wa kitanzania ni shida tupu
 
You are just shithole like any other shithole!! Jibu hoja nchi ipi duniani Central Bank haimilikiwi na serikali kwa 100%? Umesema serikali iwe major shareholder let's say 51% ndio maana nikauliza wapi duniani serikali inamiliki hizo share let's say 51% or so!!? Kama huelewi sema hujui yaishe ili tukupe somo sisi tunaojua zaidi yako.
 
Oooh so she is naive and not fit for the top seat, that's real anyway
Anafiti kikubwa uongozi na tija mama si mwingi wa elimu lakini hekima zake twaziona.Nilimaanisha hiki.
 
Nachoshwa na teuzi jamani. Madaraka ya Rais ni makubwa mno yaani mpaka inakera.
JPM uliwahi kereka hivi hivi, ulikuwa unashangilia hadi ushuzi unauacha kwenye chupi ukisikia ametumbua mtu?
Basi zile tumbua ndio hizo teuzi sasa
 
60yrs ya utawala wa ccm hadi leo unapigana na viajira uchwara, wenzetu wapo kwenye programming &coding sisi bado unafundishwa kukariri lini Dr.David Livingstone aliingia lini Tanganyika!
Kwa taarifa yako, Marekani mpaka leo wanajifunza Classical Latin. Unafikiri ni wajinga? Wanajifunza kuhusu Napoleonic Wars? Unafikiri ni wajinga?

Ni mtu mbumbu na mpumbavu kama wewe ndie unakuwa na mtazamo wa kishamba!
 
Kwa taarifa yako, Marekani mpaka leo wanajifunza Classical Latin. Unafikiri ni wajinga? Wanajifunza kuhusu Napoleonic Wars? Unafikiri ni wajinga?

Ni mtu mbumbu na mpumbavu kama wewe ndie unakuwa na mtazamo wa kishamba!
Means kwako USA ndio kioo chako fair enough, jilinganishe na mambo mengine na USA na nchi yetu, coding n programming ni some muhimu ndani ya USA, sijui hiyo imeitoa wapi
 
Ila Bashe ni Msomali. Mie sipendi ninavyomuonaona huku kwenye baraza la mawaziri maana akikaakaa huku sana kuna siku anaweza akawa Rais.
Kama wageni ni weledi kuliko wenyeji Acha watutawale tuu, imagine mbantu mwenzetu alikuwa anatukatia umeme Kwa maksudi tuuu, hata Yusuphu ( mwisraeli) Kwa weledi wake alijikuta ni Waziri mkuu Misri ... Watu wanasema Maghufuli alikuwa mrundi na mkapa alikuwa mtu wa msumbiji, ni mara Mia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…