kesheni mkiomba kwani hamjua siku wala saa !
Hatuogopi kufa wala mwisho wa Dunia, sasa Kwanini tukeshe?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kesheni mkiomba kwani hamjua siku wala saa !
naombeni tuachane na wehu. Hii mambo ya dunia kuisha ni upuuzi. Y2k ilipita bila shida. Solar eclipse watu wakarudia upuuzi huo huo. Rapture ya yule mwehu wa marekani ikaja na kupita. Upuuzi na wapuuzi ni wale wale, wanavaa makanzu tofauti tu.
Jaman mbna wagumu kuelewa? Huyu mama hajasema mwisho wa dunia utakua tar flan au mwaka flan ila amesema kuna v2 flan flan kama indicators. Mie cwez kubisha maana cjui ila naweza kukubali maana dalili za alivovitabiri mwaka 1968 ndo zinaanza kujitokeza sasa