End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

wakuu mnaukumbuka huu uzi?hebu someni post hii niliyoquote hapo juu halafu tutafakari kwa pamoja tangu december 21 hadi leo Jan 2014 mnaonaje hali ya mambo duniani?mkuu Geeque jamaa sasa wamehamia mwaka 2032 ndio wanasema mwisho wa dunia.Mimi bado nasisitiza kuwa naamini hili tukio la dunia kupigwa na kimondo(KT EXTINCTION) lipo kwa sababu biblia imetabiri lakini tusilipangie tarehe na halitakuwa mwisho wa dunia.Dunia itasurvive lakini katika hali ngumu sana kwa wakazi wake.The reason is that tukio hili litatokea kwa divine authority ambayo inatazama "kiburi" cha mwanadamu kikivuka mipaka,ndio maana Yesu akasema tufuatilie ishara na si tarehe.Kuna maana kubwa hapo.Hili litatokea lakini tusilipangie muda,tufanye sehemu yetu kuwabadili binadamu kuwa wema ili kizazi chetu kiepuka zahma hii isitokee hadi pale kitakapotokea kizazi kingine kiovu kiasi cha kutimiliza unabii huu.Hivyo mkuu ningeshauri heading yako iwe "dunia kupigwa na kimondo".

Mkuu si Km Dunia itapigwa na jiwe Bali Km unavyofahamu ujio Wa Yesu utakua na radi Na tetemeko kubwa kuvuruga kabisa Dunia na vilivyomo! Kwa hiyo sio Km jiwe litakuja kuipiga Dunia!
 
Last edited by a moderator:
Wewe naye hovyoooo. Sijui watu wengine mkoje kila siku join date ili? wewe changia alicholeta hutaki tambaa.
Usione mtu kajiunga karibuni ukamuona kuwa ndio mgeni. Mfano mimi baada ya kupoteza password imenibidi nikae kwanza nije nijiunge tena kwa jina lingine.

Mwanzo nilikuwepo toka 2011. Nikajiunga tena mwaka huu sasa muache hizo tabia na kujifanya JF ina wenyewe. Nyie wenye tabia hizo mnaboa.

www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/288779-kwa-wanaojiita-wazawa-wa-jf-3.html
 
Maigeuze theories, hii ya planet nibiru ilisemwa itatokea december 21 2012 na haikutokea, Watu kwenye internet wanajaribu kila siku kutafuta views kwenye page zao sababu zinawapatia hela kutoka kwenye advertisements..
Hakuna sayari inayosafiri kuja kukutana na dunia kutoka ukbali ambao itachukua miaka zaidi ya kumi kufika, hapo katikati kuna vitu vingi sana vya kuistop, afu siku zote hua kuna mvutano wa kila heavenly bodies, hakuna body ambayo itakuja straight hivo unless ipo kwenye solarsystem, na hata kwenye solarsystem yenyewe mvutano na sayari nyingine utabalance vitu vizuri tu, we unadhani kwa nini hatugongani na mars au mercury au nyingine... ungenambia asterois ningeogopa maana hua zinafika hizo
 
Usipotoshe mambo, wana sayansi hawakurupuki, wanaangalia kinachoendelea angani, na kwa evidence ya yaliyowahi kutokea wanafahamu yanaweza kutokea tena kwa extent tofauti, kubwa zaidi au ndogo zaidi!

Mkuu sizani Km hoja Yangu inashida au inapotosha! Kwasababu Yale yaliyo ndani ya maandiko ndio wanayazungumza. Ingawa wao huyazungumza kwa namna ingine! Alafu pia 2009 kuliwahi kua na habari Km hizi ya kwamba 2012 December kungetokea kitu Km Hichi kinachozungumzwa na hakijatokea Na wameamia tena 2032 tena sasa ni sayari Na sio vimondo! Kwa hiyo umakini wao uko wapi ktk hili?

Mimi naamini biblia ktk hili na si wanasayansi!

Mkuu Rudi uisome tena hiyo Mathayo 16:27-28! Huo utabiri ni Wa kuja kwa Mara ya pili Yesu na ndio maana bado haujatimia!

Asante!
 
Uko sahihi mkuu, mimi nilijadili kisayansi kwa sababu mada ililetwa kisayansi, hata hivyo hapo kwenye nyekundu si kweli mkuu, sidhani kama kuna siku wana sayansi walisema kuwa KUNA KITU KITAGONGA DUNIA, mara zote wanakuwa waangalifu sana na maneno hayo wanatumia "KUNA UWEZEKANO". Lakini hata Yesu mwenyewe alitabiri mwisho ambao haukutokea (Matthew 16: 27-28).

Nakubaliana na wewe kiongozi, nadhani ni kwenye uandishi tu, ila naomba nisiwasingizie wanasayansi kwa hilo.Ni kweli huwa wanatumia neno UWEZEKANO.

Yesu sio kwamba alitabiri, Yeye alikua anatoa taarifa mkuu kwamba mwisho wa dunia ni kitu halisi, kile ambacho hakukisema ni lini. Ila alielezea kwa ufupi nini kitatokea na dalili zake. Nimeweka baadhi ya mistari ya Mathayo 24 kuonyesha maelezo ya Bwana Yesu kuhusu siku za mwisho.

- Injili (Habari njema) lazima ihubiriwe kwa mataifa yote.
- Kizazi hakijapita bado.
- Machafuko tunayoyaona ni mwnzo tu.

Mathayo 24

3 Hata alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamwendea kwa faragha, wakisema, Tuambie, mambo hayo yatakuwa lini? Nayo ni nini dalili ya kuja kwako, na ya mwisho wa dunia?
4 Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye.
5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
6 Nanyi mtasikia habari za vita na matetesi ya vita; angalieni, msitishwe; maana hayo hayana budi kutukia; lakini ule mwisho bado.
7 Kwa maana taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme; kutakuwa na njaa, na matetemeko ya nchi mahali mahali.
8 Hayo yote ndiyo mwanzo wa utungu.
9 Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu.
10 Ndipo wengi watakapojikwaa, nao watasalitiana, na kuchukiana.
11 Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.
12 Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa.
13 Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.

14 Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.

21 Kwa kuwa wakati huo kutakuwapo dhiki kubwa, ambayo haijatokea namna yake tangu mwanzo wa ulimwengu hata sasa, wala haitakuwapo kamwe.
22 Na kama siku hizo zisingalifupizwa, asingeokoka mtu ye yote; lakini kwa ajili ya wateule zitafupizwa siku hizo.
26 Basi wakiwaambia, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, msisadiki.
27 Kwa maana kama vile umeme utokavyo mashariki ukaonekana hata magharibi, hivyo ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.
28 Kwa kuwa po pote ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai.
29 Lakini mara, baada ya dhiki ya siku zile, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake, na nyota zitaanguka mbinguni, na nguvu za mbinguni zitatikisika;
30 ndipo itakapoonekana ishara yake Mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi.
31 Naye atawatuma malaika zake pamoja na sauti kuu ya parapanda, nao watawakusanya wateule wake toka pepo nne, toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu.
32 Basi kwa mtini jifunzeni mfano; tawi lake likiisha kuchipuka na kuchanua majani, mwatambua ya kuwa wakati wa mavuno u karibu;
33 nanyi kadhalika, myaonapo hayo yote, tambueni ya kuwa yu karibu, milangoni.
34 Amin, nawaambia, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote yatakapotimia.
35 Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe.

36 Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake.
 
Uko sahihi Mkuu wangu. Na ni kweli hata yesu hakupata kusema muda kwa hakika, lakini alirejea kipindi fulani, ambacho nacho kilipita bila ujio wake! "Amin nawaambia, Kizazi hiki (hao aliokuwa akihutubia)hakitapita hata hayo yote yatapotimia (Matayo: 24, 34), Tamko hilo lilirejewa mara kadhaa (Marko 13: 26-30, Luka 21:...), vizazi na vizazi vimepita hata sasa!
 
Mkuu si Km Dunia itapigwa na jiwe Bali Km unavyofahamu ujio Wa Yesu utakua na radi Na tetemeko kubwa kuvuruga kabisa Dunia na vilivyomo! Kwa hiyo sio Km jiwe litakuja kuipiga Dunia!

mkuu huwa unapitia ufunuo wa Yohana?
 
Mkuu Asante sn kwa fanunuzi yako!

Hiyo Mathayo imezungumza mambo mengi ya Hapo badae!
Mimi nilitaka kujua fafanuzi ya mistari ya 9 na 10 na 21 na 22. Hawa ni Kundi gani Ambao watachukiwa na kuuwawa na kusalitiwa na dhiki wataipata! Ni watu gani watawatesa au kuwauwa Hawa wateule. Maana inavyooneka bila kupitia hicho kipindi ule mwisho utakua bado!
 
Mkuu sizani Km hoja Yangu inashida au inapotosha! Kwasababu Yale yaliyo ndani ya maandiko ndio wanayazungumza. Ingawa wao huyazungumza kwa namna ingine! Alafu pia 2009 kuliwahi kua na habari Km hizi ya kwamba 2012 December kungetokea kitu Km Hichi kinachozungumzwa na hakijatokea Na wameamia tena 2032 tena sasa ni sayari Na sio vimondo! Kwa hiyo umakini wao uko wapi ktk hili?

Mimi naamini biblia ktk hili na si wanasayansi!

Mkuu Rudi uisome tena hiyo Mathayo 16:27-28! Huo utabiri ni Wa kuja kwa Mara ya pili Yesu na ndio maana bado haujatimia!

Asante!

Tatizo haufanyi utafiti mkuuu hata nikikuuliza ni lini wanasayansi walisema hicho unachokisema hauwezi kuniambia, na hii hapa wala si mpya kama anavosema kanjanja wa shigongo! Hiyo Mathayo 16:27-28 nimeisoma, huo mstari wa 28 umeuelewa vizuri:"Truly I tell you, some who are standing here will not taste death before they see the Son of Man coming in his kingdom", generation ngapi zimepita hata sasa unangoja?
 
MWISHO WA DUNIA WATAJWA

WAKATI binadamu wakiendelea na mipango yao ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi kimazingira, kiulinzi na usalama, utabiri mpya wa kutisha unaonesha kuwa mwaka 2032 ndiyo mwisho wa sayari hii ya tatu katika mfumo wa jua.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika mitandao ya internet, sayari iitwayo Nibiru, ambayo kisayansi inafahamika kama Planet X ipo njiani kuigonga dunia na hivyo kusababisha majanga mbalimbali kutokea.
ITAONEKANA ANGANI KAMA MWEZI
Kwa mujibu wa mitandao hiyo ya kisayansi, sayari hiyo ambayo inaisogelea dunia kwa kasi kubwa, itaonekana kubwa na angavu wakati wa usiku angani na kuwa katika umbo la mwezi na hivyo kufanya miezi ionekane miwili...read more at

shetani na mama mkwe wake wanalia...shetani na mama mkwe wake wamekalia misumari.....
 
Uko sahihi Mkuu wangu. Na ni kweli hata yesu hakupata kusema muda kwa hakika, lakini alirejea kipindi fulani, ambacho nacho kilipita bila ujio wake! "Amin nawaambia, Kizazi hiki (hao aliokuwa akihutubia)hakitapita hata hayo yote yatapotimia (Matayo: 24, 34), Tamko hilo lilirejewa mara kadhaa (Marko 13: 26-30, Luka 21:...), vizazi na vizazi vimepita hata sasa!

Unaweza kuelezea kizazi kwa mtazamo wa kibiblia mkuu?
 
MWISHO WA DUNIA WATAJWA

WAKATI binadamu wakiendelea na mipango yao ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi kimazingira, kiulinzi na usalama, utabiri mpya wa kutisha unaonesha kuwa mwaka 2032 ndiyo mwisho wa sayari hii ya tatu katika mfumo wa jua.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika mitandao ya internet, sayari iitwayo Nibiru, ambayo kisayansi inafahamika kama Planet X ipo njiani kuigonga dunia na hivyo kusababisha majanga mbalimbali kutokea.
ITAONEKANA ANGANI KAMA MWEZI
Kwa mujibu wa mitandao hiyo ya kisayansi, sayari hiyo ambayo inaisogelea dunia kwa kasi kubwa, itaonekana kubwa na angavu wakati wa usiku angani na kuwa katika umbo la mwezi na hivyo kufanya miezi ionekane miwili...read more at

...Kibwetere...!
 
Unaweza kuelezea kizazi kwa mtazamo wa kibiblia mkuu?

Mkuu, kwa uelewa wangu mdogo nafahamu waebrania wanachukulia generation kama ukingo wa watu wa waliokuwa hai katika kipipndi fulani, mfano sisi na baba zetu na watoto wetu tunaweza kuwa a generation, utafika wakati hakutakuwa na mmoja wetu aliye hai (when the las of us dies) generation yetu inakuwa imepita. Tukiangalia Mwanzo 15: 13-16 ([SUP]13[/SUP]....Ujue hakika ya kwamba wazawa wako watakaa kama wageni katika nchi isiyo yao,watakuwa watumwa na kuteswa kwa muda wa miaka mia nne,....[SUP]16[/SUP] wazawa wako watarudi hapa katika kizazi cha nne,...) Hapo naona miaka mia nne imechukuliwa kuwa generation nne, hivyo kwa wastani generation moja miaka mia (japo sehem zingine kwenye biblia inaonesha ni less). Angalia pia Mathayo 16 mstari wa 28 Yesu anakuwa more specific.

Nawasilisha MKuu.
 
Tatizo haufanyi utafiti mkuuu hata nikikuuliza ni lini wanasayansi walisema hicho unachokisema hauwezi kuniambia, na hii hapa wala si mpya kama anavosema kanjanja wa shigongo! Hiyo Mathayo 16:27-28 nimeisoma, huo mstari wa 28 umeuelewa vizuri:"Truly I tell you, some who are standing here will not taste death before they see the Son of Man coming in his kingdom", generation ngapi zimepita hata sasa unangoja?

Mkuu Ukisoma hiyo Mathayo kuanzia mstari Wa 24 mpk huo Wa 28 utaelewa Yesu anasema nini!

Unajua hapo Yesu anazungumzia ujio wake Wa Mara ya pili! Na hapo anazungumzia wale watakaokutwa hai wakiwa ktk haki hawatokufa!

Soma 1 Thess 4:16,17 utapata picha Zaidi!
 
Mkuu, kwa uelewa wangu mdogo nafahamu waebrania wanachukulia generation kama ukingo wa watu wa waliokuwa hai katika kipipndi fulani, mfano sisi na baba zetu na watoto wetu tunaweza kuwa a generation, utafika wakati hakutakuwa na mmoja wetu aliye hai (when the las of us dies) generation yetu inakuwa imepita. Tukiangalia Mwanzo 15: 13-16 ([SUP]13[/SUP]....Ujue hakika ya kwamba wazawa wako watakaa kama wageni katika nchi isiyo yao,watakuwa watumwa na kuteswa kwa muda wa miaka mia nne,....[SUP]16[/SUP] wazawa wako watarudi hapa katika kizazi cha nne,...) Hapo naona miaka mia nne imechukuliwa kuwa generation nne, hivyo kwa wastani generation moja miaka mia (japo sehem zingine kwenye biblia inaonesha ni less). Angalia pia Mathayo 16 mstari wa 28 Yesu anakuwa more specific.

Nawasilisha MKuu.

Sio uelewa mdogo mkuu, tunajifunza wote.

There are two keys to understanding the prophecy of the Lord's Second Coming as revealed in Matthew 24, known as the Olivet Discourse. The first is to understand Matthew 24:3 while the second is that Mark and Luke write about this topic. The three together: Matthew 24, Mark 13, and Luke 21 are called synoptic gospels and need to be studied together for the complete picture and understanding.
The reason Matthew 24:3 is so important is it shows that the Lord Jesus is addressing three questions.

These topics must be kept in mind when reading the chapters to understand what question He is addressing. The three questions are:
1. When shall these things be? (This is the destruction of the temple that was currently standing.)
2. The sign of your (Second) coming.
3. The end of the world.

Matthew 24:3 And as he sat upon the mount of Olives, the disciples came unto him privately, saying, Tell us, when shall these things be? and what shall be the sign of thy coming, and of the end of the world?
With this in mind, let's look at Matthew 24:34 and the context in which it was located. In the preceding verses, the Lord was addressing question three which is the "sign of his coming". This is found in verses 29-31.

Matthew 24:29 Immediately after the tribulation of those days shall the sun be darkened, and the moon shall not give her light, and the stars shall fall from heaven, and the powers of the heavens shall be shaken: And then shall appear the sign of the Son of man in heaven: and then shall all the tribes of the earth mourn, and they shall see the Son of man coming in the clouds of heaven with power and great glory. (31) And he shall send his angels with a great sound of a trumpet, and they shall gather together his elect from the four winds, from one end of heaven to the other.

Then in the following verse, He gives a parable about the the "fig tree" putting forth its leaves you know the summer is near. The fig tree blooms very late in the spring, and when it does, you know that summertime is very close. It is as a timepiece or calendar for an event.
Matthew 24:32 Now learn a parable of the fig tree; When his branch is yet tender, and putteth forth leaves, ye know that summer is nigh:

The use of the word fig tree is very significant because in the Bible it can represent the nation of Israel. God uses this metaphor and others like it because the nation is supposed to bear spiritual fruit for Him. This is a very important parable as it is found in all three gospel accounts: Mark 13:28 and Luke 21:29.
Hosea 9:10 I found Israel like grapes in the wilderness; I saw your fathers as the firstripe in the fig tree at her first time …

When studying the gospels there are many times that the Lord uses a parable about the fig tree. They are usually about bearing fruit which Israel was not and the destruction of the tree for being fruitless. In Matthew 24:32, He is talking about the fig tree coming to life and getting ready to bear fruit and not its destruction.
The context of Matthew 24:34 is the generation that sees the events coming to pass regarding the end of the age and the Second Coming of the Lord Jesus. THIS generation shall not pass until all the events are fulfilled.

Matthew 24:29,30 Immediately after the tribulation of those days shall the sun be darkened, and the moon shall not give her light, and the stars shall fall from heaven, and the powers of the heavens shall be shaken: And then shall appear the sign of the Son of man in heaven: and then shall all the tribes of the earth mourn, and they shall see the Son of man coming in the clouds of heaven with power and great glory.
(31) And he shall send his angels with a great sound of a trumpet, and they shall gather together his elect from the four winds, from one end of heaven to the other.
(32,33) Now learn a parable of the fig tree; When his branch is yet tender, and putteth forth leaves, ye know that summer is nigh: (33) So likewise ye, when ye shall see all these things, know that it is near, even at the doors. (34) Verily I say unto you, This generation shall not pass, till all these things be fulfilled.

Luke 21 gives a tremendous key to the setting of the generation mentioned in Matthew 24:34. Luke establishes that it is connected with the destruction and restoration of Jerusalem. So, events involving Jerusalem become the setting for the final generation. In verse 21, Luke writes about the destruction and what to look for. This is describing when the city is about to be destroyed. This answers the first question: When Shall These Things Be?

Luke 21:20 And when ye shall see Jerusalem compassed with armies, then know that the desolation thereof is nigh. (21) Then let them which are in Judaea flee to the mountains; and let them which are in the midst of it depart out; and let not them that are in the countries enter thereinto.

Luke then goes on to say that the destruction of Jerusalem and the captivity of the people would not be forever. That Jerusalem would be under the control of the non Jews for only a certain period of time. The exact amount of time is not mentioned, but the conclusion would be known as the events would focus on Jerusalem.

Luke 21:24 And they shall fall by the edge of the sword, and shall be led away captive into all nations: and Jerusalem shall be trodden down of the Gentiles, until the times of the Gentiles be fulfilled.

After the end of the non Jewish control of Jerusalem would come the Second Coming of Jesus Christ. So, according to the synoptic gospels regarding the Olivet Discourse, we are now living in the generation that will not pass away until all things be fulfilled.

Luke 21:25,26 And there shall be signs in the sun, and in the moon, and in the stars; and upon the earth distress of nations, with perplexity; the sea and the waves roaring; Men's hearts failing them for fear, and for looking after those things which are coming on the earth: for the powers of heaven shall be shaken.
(27) And then shall they see the Son of man coming in a cloud with power and great glory.

The Jews are once again back on the land and Israel is a nation. As prophesied by the Lord Jesus and the prophets, Jerusalem is once again the capital of a Jewish nation. Hebrew was a dead language, but it was revived and is the national language of Israel. They even have shekels for money! The fig tree is once again ready to bloom, so we know that the summer or Second Coming of the Lord Jesus is near.

Luke 21:32 Verily I say unto you, This generation shall not pass away, till all be fulfilled.

The Lord then went on they should watch for they never knew when these events would start to take place.

Matthew 24:42 Watch therefore: for ye know not what hour your Lord doth come.
The watching is not limited to this generation but every generation until the Lord Jesus returns.
 
Tatizo haufanyi utafiti mkuuu hata nikikuuliza ni lini wanasayansi walisema hicho unachokisema hauwezi kuniambia, na hii hapa wala si mpya kama anavosema kanjanja wa shigongo! Hiyo Mathayo 16:27-28 nimeisoma, huo mstari wa 28 umeuelewa vizuri:"Truly I tell you, some who are standing here will not taste death before they see the Son of Man coming in his kingdom", generation ngapi zimepita hata sasa unangoja?

For the Lord Himself will descend from heaven with a shout, with a voice of an archangel, and with a trumpet of God. And the dead in Christ will rise first. Then we who are alive and remain shall be cought up together with them in the clouds to meet the Lord in the air. And thus we shall always be with the Lord. 1 Thess 4:16-17

Mkuu alichokua anakisema Yesu ndio hicho hapo yakwamba kuna wanadamu wengine hawatoonja mauti!
 
Back
Top Bottom