Mr No fair
Member
- Oct 25, 2020
- 84
- 122
ENDAPO ikitokea kampuni, mtu au taasisi yoyote duniani itayobuni kifaa cha mkononi mfano na simu(phones) (Smartphones) kitachokuwa na uwezo wa kutumika Katika mambo ya internet tu Bila kusupport hzi call za kawaida Yani wabuni na laini zao ambazo ni special kwaajili ya hiyo simu! Kwamba mtu Akitaka kukucheki Ili akupate lazima akucheki Whatsapp TU vinginevyo hawezi kukupata waweke data costs ziwe na gharama ndogo affordable kabisa lazima wapige pesa za kutosha
Sababu ni nyingi ya bidhaa hii kuja kuwa pendwa
Next time nitakuja na sababu zinazonifanya niamini ataebuni hii kitu atapiga pesa
Kama sio Hilo basi itokee kampuni iwekeze kwenye laini kama hizi hizi za simu ila ziwe za data TU kwamba hiyo laini Haina uwezo wa Kupokea Meseji Wala calls ila unajiungia bundle TU
Hapo nadhani hata bei za vifurushi itakuwa ni ndogo Kuliko hizi za Hawa matapeli wa TTCL,VODACOM,AIRTEL,TIGO ,HALOTEL