Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Tigo wanazo.Wanazo laini hasipokei calls wala sms, usimbishie nilishafika halotel shop wakawa wananiambia...
Hata Tigo wanazo..
Data zake gharama zipojeHizo line za Halotel zipo ila ni maalum kwa ajili ya internet tu. Haikubali kitu kingine hata Halopesa haifanyi kazi. Ina kuruhusu kuaccess menu ya data na kununua. Na ili kuiwekea salio ina kubidi kwenda kwa wakala wa Halopesa ndio ana weza itumia salio mfano mimi huwa na weka salio 50k ina bidi nitumie wakala wa halotel tu kz sio bank wala mtandao mwingine wowote una weza itumia salio hii ina tokana na aina ya namba zake ni nyingi kuliko hizi tunazo tumia kwa mawasiliano ya kila siku. Hiyo ina digits 12 bila +255 wakati hizi za kawaida ukiweka +255 ndio unafikisha 12
mmmh mimi natumia kile unlimited cha 50k tatizo lao kubwa wana network ya 4G na ina lemewa sana pia network sio nzuri jaribu kwanza kwa maeneo yako ukiona haikupi shida enjoy unlimited yao.Data zake gharama zipoje
Simu za nini wakati hata simu uliyonayo kuna software ukiweka inatumia data pekee hakuna kupokea calls wala sms...
Ni software gani hiyo mkuu ikikupendeza itupie hapaSimu za nini wakati hata simu uliyonayo kuna software ukiweka inatumia data pekee hakuna kupokea calls wala sms...
Hata simu yako unaweza kuitoa laini na mambo ya whtasapp na internet yakaendelea kupitia WIFI.ENDAPO ikitokea kampuni, mtu au taasisi yoyote duniani itayobuni kifaa cha mkononi mfano na simu(phones) (Smartphones) kitachokuwa na uwezo wa kutumika Katika mambo ya internet tu Bila kusupport hzi call za kawaida Yani wabuni na laini zao ambazo ni special kwaajili ya hiyo simu! Kwamba mtu Akitaka kukucheki Ili akupate lazima akucheki Whatsapp TU vinginevyo hawezi kukupata waweke data costs ziwe na gharama ndogo affordable kabisa lazima wapige pesa za kutosha
Sababu ni nyingi ya bidhaa hii kuja kuwa pendwa
Next time nitakuja na sababu zinazonifanya niamini ataebuni hii kitu atapiga pesa
Kama sio Hilo basi itokee kampuni iwekeze kwenye laini kama hizi hizi za simu ila ziwe za data TU kwamba hiyo laini Haina uwezo wa Kupokea Meseji Wala calls ila unajiungia bundle TU
Hapo nadhani hata bei za vifurushi itakuwa ni ndogo Kuliko hizi za Hawa matapeli wa TTCL,VODACOM,AIRTEL,TIGO ,HALOTEL
Sio lazima kwa wakala kama una line nyingine ya kawaida unanunua data bundle kwa kutumia menu ya mnunulie mwingine inakubali vizuri tu.Hizo line za Halotel zipo ila ni maalum kwa ajili ya internet tu. Haikubali kitu kingine hata Halopesa haifanyi kazi. Ina kuruhusu kuaccess menu ya data na kununua. Na ili kuiwekea salio ina kubidi kwenda kwa wakala wa Halopesa ndio ana weza itumia salio mfano mimi huwa na weka salio 50k ina bidi nitumie wakala wa halotel tu kz sio bank wala mtandao mwingine wowote una weza itumia salio hii ina tokana na aina ya namba zake ni nyingi kuliko hizi tunazo tumia kwa mawasiliano ya kila siku. Hiyo ina digits 12 bila +255 wakati hizi za kawaida ukiweka +255 ndio unafikisha 12
Line nyingine ya mtandao gani mkuu?Sio lazima kwa wakala kama una line nyingine ya kawaida unanunua data bundle kwa kutumia menu ya mnunulie mwingine inakubali vizuri tu.
Halotel Wana laini zinaitwa M2M no special Kwa data TU hauwezi kupiga Wala kupigiwa call kawaidaUongo
Halotel ya kawaida inayopiga na kutuma sms.Line nyingine ya mtandao gani mkuu?
Mimi nimeongelea case ya mtu hataki kuwa na line nyingi njia rahisi kwakwe ni ipi? Wakala sio wote tuna penda tembea na line kwenye wallet, una taka recharge process ya kwenda jitumia salio utoe line uweke kwenye simu uanze nunulia bundle huku utume kule na kwenda kwa wakala aka tuma una nunua ipi nyepesi? najaribu kutafuta wepesi sio kujipa mlolongo wa kazi inayo weza kufanywa kwa wepesiHalotel ya kawaida inayopiga na kutuma sms.
mbona hata hii smartphone tunazotumia inaweza kufanya yote hayo uliyosema kwenye hio comment yako hapo juu unaingia you tube,tik tok,whatssap,google unatumia internet,E mail..yaani simu yako iko ON lakini watakao kupigia simu au kutuma SMS watajibiwa namba yako haipatikani au namba haipo haitambuliki kwenye hiyo smartphone yako unayotumia hapa ww kama hujui sema tukufundishe nini ufanye..Kwamba hicho kifaa Unaweza ukagoogle ukaingia YouTube TikTok Whatsapp na ukawa hapatikani Kwa calls za kawaida?