zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
UongoWacha urongo bheye. Wanayo, mm ninayo tayari ya Halotel.
Hairuhusu calls ni mtandao wa internet pekee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UongoWacha urongo bheye. Wanayo, mm ninayo tayari ya Halotel.
Hairuhusu calls ni mtandao wa internet pekee
Uongo tenaWanazo laini hasipokei calls wala sms, usimbishie nilishafika halotel shop wakawa wananiambia...
Hata Tigo wanazo..
Muongo mwingine huyuMimi nnayo ya Halotel . Ni Data tu basi
Thibitisha kingine umenielewa mleta lakini na mimi ninachomaanisha?Mimi nnayo ya Halotel . Ni Data tu basi
😂😂😂😂😂 Hivi ukiwa muongo Kwa mwezi unapokea Tsh ngapiMuongo mwingine huyu
Tuwasiliane na waongo tujue wanaingiziwa kiasi gani😂😂😂😂😂 Hivi ukiwa muongo Kwa mwezi unapokea Tsh ngapi
Unamuita mwenzako mshamba wakati we ndo mshamba? Hizo laini halotel wanazo acha ushambaAcha ushamba
We tumbili mwitu nimesema hizo simu za aina hio hawana usiwe unaparamia wanaume ghorofani utapakwa mafuta shauri yakoUnamuita mwenzako mshamba wakati we ndo mshamba? Hizo laini halotel wanazo acha ushamba
Naitwa Lucha A.K.A puff Daddy ukitaka huduma hiyo ya upako wa mafuta njooWe tumbili mwitu nimesema hizo simu za aina hio hawana usiwe unaparamia wanaume ghorofani utapakwa mafuta shauri yako
Sasa hivi upo nyuma ya nani au upo nyuma ya NONDO?Naitwa Lucha A.K.A puff Daddy ukitaka huduma hiyo ya upako wa mafuta njoo
Ninayo hiyo line... Haupigi Wala kutuma meseji ni internet tu.Halotel wanazo line za aina hiyo.
Makubwa😁Naitwa Lucha A.K.A puff Daddy ukitaka huduma hiyo ya upako wa mafuta njoo
Tafuta kazi za kufanya.Uongo tena
Nimesema simu sio laini naomba tuelewane hapa laini hata mimi ninayoNinayo hiyo line... Haupigi Wala kutuma meseji ni internet tu.
Tumbili wewe nimesema simu sio laini uwe unaelewaTafuta kazi za kufanya.