Endapo kuna mtu anabuni kitu hiki atapiga sana pesa

Endapo kuna mtu anabuni kitu hiki atapiga sana pesa

mbona hata hii smartphone tunazotumia inaweza kufanya yote hayo uliyosema kwenye hio comment yako hapo juu unaingia you tube,tik tok,whatssap,google unatumia internet,E mail..yaani simu yako iko ON lakini watakao kupigia simu au kutuma SMS watajibiwa namba yako haipatikani au namba haipo haitambuliki kwenye hiyo smartphone yako unayotumia hapa ww kama hujui sema tukufundishe nini ufanye..
Toa nondo hizo mkuu watu wapate madini kwasababu sio dhambi kutofahamu kitu wewe ukakifahamu elezea hapa Mzee kama Kweli
 
mbona hata hii smartphone tunazotumia inaweza kufanya yote hayo uliyosema kwenye hio comment yako hapo juu unaingia you tube,tik tok,whatssap,google unatumia internet,E mail..yaani simu yako iko ON lakini watakao kupigia simu au kutuma SMS watajibiwa namba yako haipatikani au namba haipo haitambuliki kwenye hiyo smartphone yako unayotumia hapa ww kama hujui sema tukufundishe nini ufanye..
Mkuu naomba huu ujanja wa kutumia internet huku umeblock simu na sms
 
ENDAPO ikitokea kampuni, mtu au taasisi yoyote duniani itayobuni kifaa cha mkononi mfano na simu(phones) (Smartphones) kitachokuwa na uwezo wa kutumika Katika mambo ya internet tu Bila kusupport hzi call za kawaida Yani wabuni na laini zao ambazo ni special kwaajili ya hiyo simu! Kwamba mtu Akitaka kukucheki Ili akupate lazima akucheki Whatsapp TU vinginevyo hawezi kukupata waweke data costs ziwe na gharama ndogo affordable kabisa lazima wapige pesa za kutosha

Sababu ni nyingi ya bidhaa hii kuja kuwa pendwa
Next time nitakuja na sababu zinazonifanya niamini ataebuni hii kitu atapiga pesa

Kama sio Hilo basi itokee kampuni iwekeze kwenye laini kama hizi hizi za simu ila ziwe za data TU kwamba hiyo laini Haina uwezo wa Kupokea Meseji Wala calls ila unajiungia bundle TU

Hapo nadhani hata bei za vifurushi itakuwa ni ndogo Kuliko hizi za Hawa matapeli wa TTCL,VODACOM,AIRTEL,TIGO ,HALOTEL
Mbona iPad zipo miaka Konso, haina call wala sms za kawaida , line unaweka inatumia data tu

Kuna iPod pia kama unataka size ya Simu , haina call wala sms za kawaida, Yenyewe ni data tu. Wazungu huwanunulia watoto wao hasa wa shule
 
Back
Top Bottom