Hu Jintao
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,726
- 3,359
Hawa wanaongelea line ila mleta mada kasema kifaa.Nimesema simu sio laini naomba tuelewane hapa laini hata mimi ninayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wanaongelea line ila mleta mada kasema kifaa.Nimesema simu sio laini naomba tuelewane hapa laini hata mimi ninayo
Kuelewa kugumu sanaHawa wanaongelea line ila mleta mada kasema kifaa.
Kukosea kupo brother...Kuelewa kugumu sana
Simu za nini wakati hata simu uliyonayo kuna software ukiweka inatumia data pekee hakuna kupokea calls wala sms...Tumbili wewe nimesema simu sio laini uwe unaelewa
Bora hata wewe muelewaKukosea kupo brother...
Wewe hujaelewa mada soma tena upyaSimu za nini wakati hata simu uliyonayo kuna software ukiweka inatumia data pekee hakuna kupokea calls wala sms...
Kwamba hicho kifaa Unaweza ukagoogle ukaingia YouTube TikTok Whatsapp na ukawa hapatikani Kwa calls za kawaida?
VizuriSawa, nitafuatilia maana kuna mdau alitakunisajilia sikuwa na interest nayo.
Ukitaka kutopatikana unaweza tu kununua line mpya na usiwape watu hiyo namba, na pia block all incoming calls. sidhani kuna kampuni inaweza kufikiria kutengeneza smart device iliyo na minimal functions ili wakose soko kwa wanaohitaji full functions ambayo ndio wengiKwamba hicho kifaa Unaweza ukagoogle ukaingia YouTube TikTok Whatsapp na ukawa hapatikani Kwa calls za kawaida?
Nimeinunua hiyo vita nimesimama kama Karma, nimekuita mshamba ili upate maumivu kiasi kilekile alichopata mtu ambae wewe umemuita mshamba bila sababu za msingi.Sasa hivi upo nyuma ya nani au upo nyuma ya NONDO?
Elewa mada msianzishe mada juu ya madaUkitaka kutopatikana unaweza kufanya wewe mwenyewe, divert line yako kwenda wrong number
Nimekuuliza upo nyuma ya nani huyo ulinunua kutoka kwake au nyuma ya NONDO?Nimeinunua hiyo vita nimesimama kama Karma, nimekuita mshamba ili upate maumivu kiasi kilekile alichopata mtu ambae wewe umemuita mshamba bila sababu za msingi
Kwamba YouTube inahitaji namba kwamba Whatsapp ni lazima line iwe kwenye hicho hicho kifaa Kwamba msimbo hauwezi kutumwa Ikiwa line IPO kwenye simu nyingine? ELIMU ya wapi hii Mzee unataka kutufundisha?Hivyo vifaa vipo lakini tatizo linakuja upande wa hizo application ulizotaja. Zote zinataka lazima uweke namba ya simu inayo patikana kwa voice call.
Hakuna kampuni itafanya hivyo, hizo features tayari zipo.Wewe hujaelewa mada soma tena upya
Evidence IPO wapi mkuu?Hakuna kampuni itafanya hivyo, hizo features tayari zipo.
Kama hutaki calls na sms nunua sim card au weka software ya kuzuia...
Hakuna kampuni itaingia kwenye biashara hio wakiwa wanategemea kwamba hio ndio unique feature ya kuleta wateja...
Hata hilo wazo ukipendekeza kwa investors hawatochukulia serious...
Umeelewa kiongozi?
iPhone wanauza simu zao kwa ubora wa simu na security, pixel ni camera n.k
We unaingia sokoni kwa feature ya kuzuia calls na sms kitu ambacho tayari kipo...
Kwa akili yako na mwisho wa upeo wako ni uongoUongo
Kwanini unabisha kitu ambacho hukijui, binafsi hiyo laini mimi ninayoHawana hizo laini Halotel acha kuwapiga wenzio
Mimi ninayo hio line wasikupoteze hao, hata no yake ya simu ni tofauti Na no za kawaida.Sawa, nitafuatilia maana kuna mdau alitakunisajilia sikuwa na interest nayo.
Sijasema YouTube bali Whatsapp n.k.Kwamba YouTube inahitaji namba kwamba Whatsapp ni lazima line iwe kwenye hicho hicho kifaa Kwamba msimbo hauwezi kutumwa Ikiwa line IPO kwenye simu nyingine? ELIMU ya wapi hii Mzee unataka kutufundisha?