Endapo kuna mtu anabuni kitu hiki atapiga sana pesa

Simu si zipo wireless???na line halotel si wanazo zinaitwa M2M(Machine To Machine) ninayo ila situmii,elfu 90 wanakupa GB 128 za miezi 6...
 
Hizo line za Halotel zipo ila ni maalum kwa ajili ya internet tu. Haikubali kitu kingine hata Halopesa haifanyi kazi. Ina kuruhusu kuaccess menu ya data na kununua. Na ili kuiwekea salio ina kubidi kwenda kwa wakala wa Halopesa ndio ana weza itumia salio mfano mimi huwa na weka salio 50k ina bidi nitumie wakala wa halotel tu kz sio bank wala mtandao mwingine wowote una weza itumia salio hii ina tokana na aina ya namba zake ni nyingi kuliko hizi tunazo tumia kwa mawasiliano ya kila siku. Hiyo ina digits 12 bila +255 wakati hizi za kawaida ukiweka +255 ndio unafikisha 12
 
Data zake gharama zipoje
 
Hata simu yako unaweza kuitoa laini na mambo ya whtasapp na internet yakaendelea kupitia WIFI.
 
Sio lazima kwa wakala kama una line nyingine ya kawaida unanunua data bundle kwa kutumia menu ya mnunulie mwingine inakubali vizuri tu.
 
yaah kweli anaweza kupiga pesa maana siku hizi unamtafuta mtu normal text

hakujibu ila ukimtumia text whatsaap muda huo huo anajibu



brainwash is real
~bufa
 
Sion faida ya Kiuchumi hapo labda tu kwa issue za Privacy na kumanage mawasiliano yako itakua poa, lakini utajiweka mbali sana na jamii halisi ukiacha ile ya mtandaoni maana ni watu wachache saaana au hakuna kabisa mtu ana jambo serious ati akutafute tiktok sijui fb utachacha sana kipande iko.

Ila kama unahitaji kua na muda wa peke yako kwenye simu yako hata ukiwa online bado unaeza fanya hivyo kwa line hizi hizi za kawaida ukazuia calls and sms ila minara ikasimama kama kawa.
 
Halotel ya kawaida inayopiga na kutuma sms.
Mimi nimeongelea case ya mtu hataki kuwa na line nyingi njia rahisi kwakwe ni ipi? Wakala sio wote tuna penda tembea na line kwenye wallet, una taka recharge process ya kwenda jitumia salio utoe line uweke kwenye simu uanze nunulia bundle huku utume kule na kwenda kwa wakala aka tuma una nunua ipi nyepesi? najaribu kutafuta wepesi sio kujipa mlolongo wa kazi inayo weza kufanywa kwa wepesi
 
Kwamba hicho kifaa Unaweza ukagoogle ukaingia YouTube TikTok Whatsapp na ukawa hapatikani Kwa calls za kawaida?
mbona hata hii smartphone tunazotumia inaweza kufanya yote hayo uliyosema kwenye hio comment yako hapo juu unaingia you tube,tik tok,whatssap,google unatumia internet,E mail..yaani simu yako iko ON lakini watakao kupigia simu au kutuma SMS watajibiwa namba yako haipatikani au namba haipo haitambuliki kwenye hiyo smartphone yako unayotumia hapa ww kama hujui sema tukufundishe nini ufanye..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…