Mr No fair
Member
- Oct 25, 2020
- 84
- 122
- Thread starter
-
- #81
Toa nondo hizo mkuu watu wapate madini kwasababu sio dhambi kutofahamu kitu wewe ukakifahamu elezea hapa Mzee kama Kwelimbona hata hii smartphone tunazotumia inaweza kufanya yote hayo uliyosema kwenye hio comment yako hapo juu unaingia you tube,tik tok,whatssap,google unatumia internet,E mail..yaani simu yako iko ON lakini watakao kupigia simu au kutuma SMS watajibiwa namba yako haipatikani au namba haipo haitambuliki kwenye hiyo smartphone yako unayotumia hapa ww kama hujui sema tukufundishe nini ufanye..
Mkuu naomba huu ujanja wa kutumia internet huku umeblock simu na smsmbona hata hii smartphone tunazotumia inaweza kufanya yote hayo uliyosema kwenye hio comment yako hapo juu unaingia you tube,tik tok,whatssap,google unatumia internet,E mail..yaani simu yako iko ON lakini watakao kupigia simu au kutuma SMS watajibiwa namba yako haipatikani au namba haipo haitambuliki kwenye hiyo smartphone yako unayotumia hapa ww kama hujui sema tukufundishe nini ufanye..
Mbona iPad zipo miaka Konso, haina call wala sms za kawaida , line unaweka inatumia data tuENDAPO ikitokea kampuni, mtu au taasisi yoyote duniani itayobuni kifaa cha mkononi mfano na simu(phones) (Smartphones) kitachokuwa na uwezo wa kutumika Katika mambo ya internet tu Bila kusupport hzi call za kawaida Yani wabuni na laini zao ambazo ni special kwaajili ya hiyo simu! Kwamba mtu Akitaka kukucheki Ili akupate lazima akucheki Whatsapp TU vinginevyo hawezi kukupata waweke data costs ziwe na gharama ndogo affordable kabisa lazima wapige pesa za kutosha
Sababu ni nyingi ya bidhaa hii kuja kuwa pendwa
Next time nitakuja na sababu zinazonifanya niamini ataebuni hii kitu atapiga pesa
Kama sio Hilo basi itokee kampuni iwekeze kwenye laini kama hizi hizi za simu ila ziwe za data TU kwamba hiyo laini Haina uwezo wa Kupokea Meseji Wala calls ila unajiungia bundle TU
Hapo nadhani hata bei za vifurushi itakuwa ni ndogo Kuliko hizi za Hawa matapeli wa TTCL,VODACOM,AIRTEL,TIGO ,HALOTEL