Endapo Mbowe atakuwa mwenyekiti kwa mara nyingine, hii ndio itakuwa safu yake ya uongozi

Endapo Mbowe atakuwa mwenyekiti kwa mara nyingine, hii ndio itakuwa safu yake ya uongozi

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
20241223_205159.jpg


Hii kwa sasa ndio cream ya chadema ya Mbowe.

Awa ndio tunatakiwa kuwaamini kuwakabidhi dola na hazina ya taifa.

Tumepigwa parefu!
 
Mbona wote ni kama wavuta bangi na walevi?
Hivi hapo kuna aliyemaliza hata form 4?
 
Wanashida, maana hakuna mwenye akili hapo.
1. Ntobi, Wenje na Bonge Yai ni washika chaki.
2. Mbowe ni DJ.

Sasa kuna mwenye akili hapo?
😂😂😂
 
Back
Top Bottom