Endapo reforms zote kubwa zinafanyika, Je Lissu awekwe meza moja na akina Nyerere kwenye historia?

Endapo reforms zote kubwa zinafanyika, Je Lissu awekwe meza moja na akina Nyerere kwenye historia?

Tundu Antipass Lissu...
Maiti inayotembea...
Trust my words... Kupitia Lissu, Tanzania inaenda kuandikwa historia mpya ya mabadiriko ya kweli kwenye Reforms za ndani ya CCM, Ndani Ya Nchi na Katiba... Huyu ni mtu ambae kwa wanaomfahamu misimamo yake sio mtu wa kubadirishwa kirahisi kwa kile asichokiamini... Ndo maana ata Kikwete aliwahi umiza kichwa kuhusu uyu...Mh Anne Makinda spika mstaafu anamjua vizuri... Serikali/CCM ilitumia kila namna na gharama kuhakikisha Mbowe anarudi kua mwenyekiti wa CDM lakin sio Lissu... Jitu lenye historia ya kutandikwa lisasi zaidi ya 15 na bado hakufa basi ujue kuna mpango wa Mungu juu ya uyu mtu... Serikal,Jeshi la Polisi,Mahakama,Uhamiaji nk nk wote wanapambana na LiSSu na Chadema ya sasa....Ogopa chama ambacho kiko radhi kupoteza kila kitu lakini msimamo wake wa kutoshiriki uchaguzi uko palepale... Narudia kuna mpango wa Mungu kwann Akuruhusu lisasi zote zile zishindwe kumuua na nyingine bado ziko mwilini mwake alafu utegemee mtu km uyu awe rahisi rahisi tu...
 
Amekuwa tayari kupitia njia ya kunyongwa mpaka kufa. Sasa kuna fununu la mwangwi mkuu wa mageuzi. Endapo yakatokea tuone atawekwa wapi na historia
Unayo haraka ya nini?
MPe nafasi ajijengee heshima yake atakayo istahili baada ya utumishi wake.

Hiyo haina maana ya kumwondolea chochote alichokifanikisha hadi wakati huu.
 
Back
Top Bottom