Endapo Salum Kikeke atateuliwa na Rais, Diaspora tutaanza kuona njia ya Uraia Pacha ikifunguka

Wanajiita "Wahangaza".
Nawajua Watanzania - Warundi /Wanyarwanda kama 7 ambao walishawahi kushika nafasi kubwa tu Tanzania na baadaye wakapewa nafasi kubwa tu huko Rwanda na Burundi.
Eeeh, sio mchezo aisee
Yaani hii ni kama wanawekwa kwa makusudi halafu wanarimotiwa
 
Hoja yangu siyo KIKEKE; Hoja yangu NI njia yakuanza kujadiliwa Kwa uraia Pacha
Unapokuwa na watu wenye uraia Pacha unapata wasukuma agenda
 
Mambo ya serikali ndivyo yalivyo... Wewe usifanye waliyopo kwenye system wanafanya...
 
Asante sana kwa kujaribu kumharibia mwenzio.
 
Uraia pacha unaopigiwa kelele sio huo wa watu walioishi nje muda mrefu kuja nyumbani Tanzania kufanya maisha hapana.

Watu wanataka kwenda nje ya inchi kufanya kazi au biashara halafu wanachokipata wanakuja wekeza hapa Tanzania kwa kujinunulia assets kama majengo, kujenga makazi ya biashara ya real estate au mahoteli na kuwekeza katika biashara kama wawekezaji active.

Yaani mtu awe anaweza kwenda mbele anapiga mzigo mwaka mzima au anapiga miezi kadhaa anakuja huku kuchungulia miradi yake na kuondoka.

Sasa hiyo CCM hawataki ukiwauliza sababu hawasemi wanajiuma uma. Hiki chama kina watu wachawi.
 
Kipi kinachozuia kwa hao walioukana uraia wa Tanzania kurudi kama wawekezaji?

Kwa sababu biashara ya real estate au Hotel ni uwekezaji?

Kwa sababu sheria inakuruhusu kufanya hayo yote na kurudi nchini unaomba visa na unakuja kutembelea mashokola ya kwenu.
 
Uraia pacha hatutaki. Kwani nyie mliopo nje mnatuletea mambo ya kisenge. Hatuwezi kukubali mkae huko huko
 
Aisee! Umeyapiga masokwe na kitu kizito! Hongera Sana!

Sijui kama yametusikia sababu yako bize kuiba fedha na kuchezea fedha za Umma wetu .

CAG Kichere kasema wee ndio kwanza yanazisunda kwenye akaunti za CHINA.

Tumechoka kutawaliwa na Chama cha Masokwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…