King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Salim Kikeke ni Mtanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeh, sio mchezo aiseeWanajiita "Wahangaza".
Nawajua Watanzania - Warundi /Wanyarwanda kama 7 ambao walishawahi kushika nafasi kubwa tu Tanzania na baadaye wakapewa nafasi kubwa tu huko Rwanda na Burundi.
Watz wengi wana chuki na wivuThibitisha Uraia wa Kikeke.
Aisee! Umeyapiga masokwe na kitu kizito! Hongera Sana!Kuwa Raia wa hii Tanzania ya CCM ni aibu tu ndio maana Watanzania smart wanachukua uraia wa Nchi nyingine.
CCM ni kundi la Masokwe waluochangamka hawawezi kuwatawala Watanzania walio smart.
Tokea lini Sokwe akamtawala Mtu?
Asante sana kwa kujaribu kumharibia mwenzio.Alianza Charles Hilary , akafuata Zuhura Yunusu na Sasa Salim Kikeke. Sina hoja Kwa Charles na Zuhura Kwa Sababu walikuwa raia WA Tanzania na awakuwahi kupata uraia huku ughaibuni.
Kwa Salim Kikeke inazaliwa hoja ya uraia, hoja hii inakwenda kuathiri utaratibu mzima WA uteuzi kwenye secta ya umma ambayo nivigumu mgeni kupewa ajira au nafasi ya kuteuliwa. Upo uwezekano Kikeke kaacha KAZI BBC kama maandalizi yakurejea kwenye asili yake....that's good kwamba mtoto anarudi home Kwa wazazi wake. Lakini vipi kuhusu sheria za nchi?
Zanzibar wamerejesha watu wengi wenye passport mbili na wamepewa uteuzi maeneo nyeti.....hakuna anayehoji kuhusu sheria za uraia Kwa Sababu anayeteua ndiye mwenye nchi. Lakini hii Tabia ikiendelea kuna umuhimu wa kukataa uraia Pacha? Au uraia Pacha utakuwa Kwa vigogo na wenye connection kwamba wanaweza kupewa ajira Bila kujali uraia wao wala sheria za nchi?
Ningependa Kikeke aingie kwenye list ya wateule ili tufungue milango ya Sisi tishio na connection kupata uraia Pacha. Diaspora tutumie fursa hizi kujenga hoja watawala waliopo ambao Wana nasaba na wageni watuvushe tuweze kuwa na Haki ya uraia wetu WA kuzaliwa huku tukipata pia fursa ya kutumikia uraia WA mataifa ya ulimwengu wa kwanza.
Complicated but complete
Yapo kwenye shamba la bibiAisee! Umeyapiga masokwe na kitu kizito! Hongera Sana!
Kipi kinachozuia kwa hao walioukana uraia wa Tanzania kurudi kama wawekezaji?Uraia pacha unaopigiwa kelele sio huo wa watu walioishi nje muda mrefu kuja nyumbani Tanzania kufanya maisha hapana.
Watu wanataka kwenda nje ya inchi kufanya kazi au biashara halafu wanachokipata wanakuja wekeza hapa Tanzania kwa kujinunulia assets kama majengo, kujenga makazi ya biashara ya real estate au mahoteli na kuwekeza katika biashara kama wawekezaji active.
Yaani mtu awe anaweza kwenda mbele anapiga mzigo mwaka mzima au anapiga miezi kadhaa anakuja huku kuchungulia miradi yake na kuondoka.
Sasa hiyo CCM hawataki ukiwauliza sababu hawasemi wanajiuma uma. Hiki chama kina watu wachawi.
Aisee! Umeyapiga masokwe na kitu kizito! Hongera Sana!