Endapo Tundu Lissu atashindwa kupata fursa ya kuwa mwenyekiti CHADEMA taifa. Plan B, atangombea Ubunge Singida, na kujipanga kugombea Urais 2030

Wewe mama bure kabisa watu wanaongelea reform wewe unaongelea peace ✌️ hivyo ni vitu viwili tofauti! Uchawa umekuwa sugu hata akili zime ama
unt haya mambo hayataki hasira wala mihemko,

tuliza mawenge 🤣
 
Ni kweli wanasomeshwa hawaishi kama wakimbizi nje ya nchi yao!

..watoto wa vigogo wa CCM hawaandaliwi kuishi au kufanya kazi Tanzania.

..tumeshuhudia katika misiba ya vigogo hivi karibuni watoto wao hawaongei Kiswahili, hawana tofauti na raia wa kigeni.
 
soma kwa bidii na uache uvuvi,
yote yanawezekana kwa yeyote mwenye nia 🐒
 
..watoto wa vigogo wa CCM hawaandaliwi kuishi au kufanya kazi Tanzania.

..tumeshuhudia katika misiba ya vigogo hivi karibuni watoto wao hawaongei Kiswahili, hawana tofauti na raia wa kigeni.
Mfumo wa CCM wa kuandaa viongozi wake upo intact. Wewe waangalie misibani tu.
 
Endapo atashindwa vibaya sana kua mwenyekiti wa Chadema Taifa kama plan A yake,

Tundu Lisu, atagombea ubunge miongoni mwa majimbo ya uchaguzi katika mkoa wa Singida, kupitia chama kipya cha siasa ambacho bado hakijawekwa wazi bado, lakini ndicho atakachokitumia kugombea ubunge Singida na lakini pia kugombea urasi 2030.

Hatua hii inamaanisha kwamba nafasi ya uenyekiti wa Chadema taifa ndiyo itakayoamua mustakabali wa siasa za Tundu Lisu, kubaki kua siasa za jimbo au kua za siasa za kiharakati kitaifa, kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa Oct 2025.

Hata hivyo,
diasporas na mabwenyenye ya magharibi yanayombackup huyu muungwana yanabaki kuwa remonte control ya kudictact siasa za Tundu Lisu humu nchini, kwasababu pekeyake bado hana uwezo wa kujitegemea kwa hali na mali, bila kubustiwa na wadau wa siasa wa ndani na nje ya nchi, hususani kiuchumi. Njia ya kuomba omba kuchangiwa imeonekana haina uhakika sana ingawa bado ana tamaa ya kufanya hivyo kwasababu ndio hulka yake.

Na hiyo ndiyo weakness yake kubwa zaidi inayomfanya kubabaika dhidi ya maamuzi yake mwenyewe, na hata kufikia mahali kulamba matapishi yake mwenyewe, mathalani kwenye suala la kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, alishawahi kutamka hadharini kwamba hakuwahi kua na ndoto hizo, lakini pia kamwe hatathubutu kugombea uenyekiti akipambana na mwenyekiti wa sasa wa Chadema.

Infact,
Tundu Lisu anafanya siasa za kushinikizwa na kuelekezwa na wanaomfadhili, na kwasababu ya umasikini wake na ugumu wa maisha, kwasababu nae hana namna ya kukataa suala lolote linalo husu pesa.

Kiufupi,
kutumika au kutumiwa kisiasa ni jambo baya sana, ni muhimu mno kujifunza kujitegemea kwa hali na mali kisiasa, kijamii na kiuchumi, ili kuepuka fedheha kama anazopitia muungwana Tundu Lisu.

kila la kheri wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa kwa kujipanga kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Lissu kashasema hatoki chadema, mtabanana humohumo, hizo ni ndoto mkuu
 
..CCM inaandaa viongozi wapya, na kulinda viongozi waliotangulia, na familia zao.

..kila anayeingia CCM anajitahidi atajirike, asomeshe wanae academy, kuwapeleka ng'ambo kusoma na kufanya kazi.
 
kwani hakusema hana ndoto ya kugombea uenyekiti wa Taifa chadema? na imekuaje sasa?

kwani hakusema kwa kuapa mbele ya umma kwamba kamwe hatagombea nafasi ya uongozi ambayo atagombea Mbowe?

kimebadilika nini sasa hivi?

You know you my friends, ladies and gentlemen, this is politics and not a church worships 🐒
 
Mbowe pia alishinikizwa mkuu. Alishangaa tu watu wamejaa pakafungwa maturubai akaomba masaa 24 atoe majibu.
 
Endapo atashindwa vibaya sana kua mwenyekiti wa Chadema Taifa kama plan A yake,

Tundu Lisu, atagombea ubunge miongoni mwa majimbo ya uchaguzi katika mkoa wa Singida, kupitia chama kipya cha siasa ambacho bado hakijawekwa wazi bado, lakini ndicho atakachokitumia kugombea ubunge Singida na lakini pia kugombea urasi 2030.

Hatua hii inamaanisha kwamba nafasi ya uenyekiti wa Chadema taifa ndiyo itakayoamua mustakabali wa siasa za Tundu Lisu, kubaki kua siasa za jimbo au kua za siasa za kiharakati kitaifa, kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa Oct 2025.

Hata hivyo,
diasporas na mabwenyenye ya magharibi yanayombackup huyu muungwana yanabaki kuwa remonte control ya kudictact siasa za Tundu Lisu humu nchini, kwasababu pekeyake bado hana uwezo wa kujitegemea kwa hali na mali, bila kubustiwa na wadau wa siasa wa ndani na nje ya nchi, hususani kiuchumi. Njia ya kuomba omba kuchangiwa imeonekana haina uhakika sana ingawa bado ana tamaa ya kufanya hivyo kwasababu ndio hulka yake.

Na hiyo ndiyo weakness yake kubwa zaidi inayomfanya kubabaika dhidi ya maamuzi yake mwenyewe, na hata kufikia mahali kulamba matapishi yake mwenyewe, mathalani kwenye suala la kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, alishawahi kutamka hadharini kwamba hakuwahi kua na ndoto hizo, lakini pia kamwe hatathubutu kugombea uenyekiti akipambana na mwenyekiti wa sasa wa Chadema.

Infact,
Tundu Lisu anafanya siasa za kushinikizwa na kuelekezwa na wanaomfadhili, na kwasababu ya umasikini wake na ugumu wa maisha, kwasababu nae hana namna ya kukataa suala lolote linalo husu pesa.

Kiufupi,
kutumika au kutumiwa kisiasa ni jambo baya sana, ni muhimu mno kujifunza kujitegemea kwa hali na mali kisiasa, kijamii na kiuchumi, ili kuepuka fedheha kama anazopitia muungwana Tundu Lisu.

kila la kheri wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa kwa kujipanga kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Lissu anafaa sana ubunge lakini sio uenyekiti CDM.
 
..CCM inaandaa viongozi wapya, na kulinda viongozi waliotangulia, na familia zao.

..kila anayeingia CCM anajitahidi atajirike, asomeshe wanae academy, kuwapeleka ng'ambo kusoma na kufanya kazi.
Na hiyo ndio kanuni ya uongozi ambayo vyama vingi ndani na nje ya Tanzania vimeshindwa kufanya. Mwishowe vinaishia kugombana na kuparaganyika. Itegemee CCM kuanguka endapo itaacha mfumo wake huu mzuri la sivyo itaendelea kuwepo sana!
 
Endapo atashindwa vibaya sana kua mwenyekiti wa Chadema Taifa kama plan A yake,

Tundu Lisu, atagombea ubunge miongoni mwa majimbo ya uchaguzi katika mkoa wa Singida, kupitia chama kipya cha siasa ambacho bado hakijawekwa wazi bado, lakini ndicho atakachokitumia kugombea ubunge Singida na lakini pia kugombea urasi 2030.

Hatua hii inamaanisha kwamba nafasi ya uenyekiti wa Chadema taifa ndiyo itakayoamua mustakabali wa siasa za Tundu Lisu, kubaki kua siasa za jimbo au kua za siasa za kiharakati kitaifa, kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa Oct 2025.

Hata hivyo,
diasporas na mabwenyenye ya magharibi yanayombackup huyu muungwana yanabaki kuwa remonte control ya kudictact siasa za Tundu Lisu humu nchini, kwasababu pekeyake bado hana uwezo wa kujitegemea kwa hali na mali, bila kubustiwa na wadau wa siasa wa ndani na nje ya nchi, hususani kiuchumi. Njia ya kuomba omba kuchangiwa imeonekana haina uhakika sana ingawa bado ana tamaa ya kufanya hivyo kwasababu ndio hulka yake.

Na hiyo ndiyo weakness yake kubwa zaidi inayomfanya kubabaika dhidi ya maamuzi yake mwenyewe, na hata kufikia mahali kulamba matapishi yake mwenyewe, mathalani kwenye suala la kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, alishawahi kutamka hadharini kwamba hakuwahi kua na ndoto hizo, lakini pia kamwe hatathubutu kugombea uenyekiti akipambana na mwenyekiti wa sasa wa Chadema.

Infact,
Tundu Lisu anafanya siasa za kushinikizwa na kuelekezwa na wanaomfadhili, na kwasababu ya umasikini wake na ugumu wa maisha, kwasababu nae hana namna ya kukataa suala lolote linalo husu pesa.

Kiufupi,
kutumika au kutumiwa kisiasa ni jambo baya sana, ni muhimu mno kujifunza kujitegemea kwa hali na mali kisiasa, kijamii na kiuchumi, ili kuepuka fedheha kama anazopitia muungwana Tundu Lisu.

kila la kheri wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa kwa kujipanga kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wewe ni nani kwa lissu ? Mjomba , kaka , mke wake, mwanae , meneja wa kampeni za ,jiheshim mkuu, achana na chadema .

Badala uposti yale mabasi ya ccm mlioleta upo na chadema .

Mmenunua pikipiki na kuwapa watu wenu ,leo zipo mtaani zinapiga boda boda,ccm akili hamna , chunguza ayo mapikipiki yenu yanachofanyiwa mtaani ,ni haibu tupu. Yanabeba mpaka matenga ya nyanya na je ndo lilikua sudio la chama kununua mapikipiki ayo?

Hata izo basi tumeona ni makaratasi tu ila baada ya uchaguzi hamtayaona ,wapi yataenda hatujui , na mwanaccm yoyote akijaribu hoji ,kwisha .

Mnatumia nguvu nyingi shambulia upande flani wakati ccm kwa upande wenu hamna Mgombea anaeuzika?

Binafsi nipo chadema ,ila katika upigaji kura huwa naangalia sera za diwani , mbunge n.k bila kujali chama ila kwa Rais kura zangu imekua kwa mgombea Chadema.

Huwezi niletea mtu zezeta kisa yupo chama changu nikampa kura ,huo ni mwiko mkubwa kwangu .

Ccm hamna mgombea anaeuzika na simuon , japo yupo bwana mmoja hivi mkimleta anaweza toa changamoto ,na ni bahati mbaya mfumo umemtenga pamoja na kuwa familia yake imekua na kiongonzi wa kitaifa kama Rais wa nchi hii.

Mmempaka matope kila kona , nawambieni uyo angeweza kuwabebeni japo hata kupata wabunge wachache ,machawa wa ccm hamjui Dunia
 
Nashauri, endapo akishindwa Uenyekiti kwa Figisu, ahamie ACT, akaunganishe nguvu na Zitto. Wataifanya ACT kuwa chama kikuu cha upinzani. Huko Atakua mgombea Urais 2025.
 
Amina. Tumtakie afya njema.
 
Gentleman,
mimi ni mtaalamu mbobevu, muandamizi wa masuala ya kisiasa za ndani ya vyama vya siasa nchini.

Na,
waTanzania wote ikiwa ni pamoja na wewe binafsi, bila kujali duni, rangi au mirengo ya kisiasa n.k, ni ndugu zangu, jamaa na marafiki zangu. Na nina wapenda sana.

Gentleman,
ni muhimu sana walau kua na utulivu kwanza fikra, kabla na wakati wa kuchangia hoja.

Naona unachanganya mambo kwa mihemko ya kiwango cha juu sana huku ukiwa na lawama nyingi mno moyoni. Pole sana kamanda.

Hata hivyo,
ni muhimu sana kuzingatia hoja,

na chukua hakikisho hili la kwamba, Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kamwe hawezi kushinda uenyekiti wa Chadema Taifa 🐒
 
Nashauri, endapo akishindwa Uenyekiti kwa Figisu, ahamie ACT, akaunganishe nguvu na Zitto. Wataifanya ACT kuwa chama kikuu cha upinzani. Huko Atakua mgombea Urais 2025.
good idea but with no healthier future politically speaking 🐒
 
Back
Top Bottom