Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ni kweli wanasomeshwa hawaishi kama wakimbizi nje ya nchi yao!..watoto wa viongozi wa CCM watoto wao wanasomeshwa academy, na vyuo vikuu nje ya nchi.
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli wanasomeshwa hawaishi kama wakimbizi nje ya nchi yao!..watoto wa viongozi wa CCM watoto wao wanasomeshwa academy, na vyuo vikuu nje ya nchi.
.
Ni kweli wanasomeshwa hawaishi kama wakimbizi nje ya nchi yao!
soma kwa bidii na uache uvuvi,..watoto wa vigogo wa CCM hawaandaliwi kuishi au kufanya kazi Tanzania.
..tumeshuhudia katika misiba ya vigogo hivi karibuni watoto wao hawaongei Kiswahili, hawana tofauti na raia wa kigeni.
Mfumo wa CCM wa kuandaa viongozi wake upo intact. Wewe waangalie misibani tu...watoto wa vigogo wa CCM hawaandaliwi kuishi au kufanya kazi Tanzania.
..tumeshuhudia katika misiba ya vigogo hivi karibuni watoto wao hawaongei Kiswahili, hawana tofauti na raia wa kigeni.
Lissu kashasema hatoki chadema, mtabanana humohumo, hizo ni ndoto mkuuEndapo atashindwa vibaya sana kua mwenyekiti wa Chadema Taifa kama plan A yake,
Tundu Lisu, atagombea ubunge miongoni mwa majimbo ya uchaguzi katika mkoa wa Singida, kupitia chama kipya cha siasa ambacho bado hakijawekwa wazi bado, lakini ndicho atakachokitumia kugombea ubunge Singida na lakini pia kugombea urasi 2030.
Hatua hii inamaanisha kwamba nafasi ya uenyekiti wa Chadema taifa ndiyo itakayoamua mustakabali wa siasa za Tundu Lisu, kubaki kua siasa za jimbo au kua za siasa za kiharakati kitaifa, kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa Oct 2025.
Hata hivyo,
diasporas na mabwenyenye ya magharibi yanayombackup huyu muungwana yanabaki kuwa remonte control ya kudictact siasa za Tundu Lisu humu nchini, kwasababu pekeyake bado hana uwezo wa kujitegemea kwa hali na mali, bila kubustiwa na wadau wa siasa wa ndani na nje ya nchi, hususani kiuchumi. Njia ya kuomba omba kuchangiwa imeonekana haina uhakika sana ingawa bado ana tamaa ya kufanya hivyo kwasababu ndio hulka yake.
Na hiyo ndiyo weakness yake kubwa zaidi inayomfanya kubabaika dhidi ya maamuzi yake mwenyewe, na hata kufikia mahali kulamba matapishi yake mwenyewe, mathalani kwenye suala la kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, alishawahi kutamka hadharini kwamba hakuwahi kua na ndoto hizo, lakini pia kamwe hatathubutu kugombea uenyekiti akipambana na mwenyekiti wa sasa wa Chadema.
Infact,
Tundu Lisu anafanya siasa za kushinikizwa na kuelekezwa na wanaomfadhili, na kwasababu ya umasikini wake na ugumu wa maisha, kwasababu nae hana namna ya kukataa suala lolote linalo husu pesa.
Kiufupi,
kutumika au kutumiwa kisiasa ni jambo baya sana, ni muhimu mno kujifunza kujitegemea kwa hali na mali kisiasa, kijamii na kiuchumi, ili kuepuka fedheha kama anazopitia muungwana Tundu Lisu.
kila la kheri wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa kwa kujipanga kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Mfumo wa CCM wa kuandaa viongozi wake upo intact. Wewe waangalie misibani tu.
kwani hakusema hana ndoto ya kugombea uenyekiti wa Taifa chadema? na imekuaje sasa?Lissu kashasema hatoki chadema, mtabanana humohumo, hizo ni ndoto mkuu
Lissu anafaa sana ubunge lakini sio uenyekiti CDM.Endapo atashindwa vibaya sana kua mwenyekiti wa Chadema Taifa kama plan A yake,
Tundu Lisu, atagombea ubunge miongoni mwa majimbo ya uchaguzi katika mkoa wa Singida, kupitia chama kipya cha siasa ambacho bado hakijawekwa wazi bado, lakini ndicho atakachokitumia kugombea ubunge Singida na lakini pia kugombea urasi 2030.
Hatua hii inamaanisha kwamba nafasi ya uenyekiti wa Chadema taifa ndiyo itakayoamua mustakabali wa siasa za Tundu Lisu, kubaki kua siasa za jimbo au kua za siasa za kiharakati kitaifa, kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa Oct 2025.
Hata hivyo,
diasporas na mabwenyenye ya magharibi yanayombackup huyu muungwana yanabaki kuwa remonte control ya kudictact siasa za Tundu Lisu humu nchini, kwasababu pekeyake bado hana uwezo wa kujitegemea kwa hali na mali, bila kubustiwa na wadau wa siasa wa ndani na nje ya nchi, hususani kiuchumi. Njia ya kuomba omba kuchangiwa imeonekana haina uhakika sana ingawa bado ana tamaa ya kufanya hivyo kwasababu ndio hulka yake.
Na hiyo ndiyo weakness yake kubwa zaidi inayomfanya kubabaika dhidi ya maamuzi yake mwenyewe, na hata kufikia mahali kulamba matapishi yake mwenyewe, mathalani kwenye suala la kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, alishawahi kutamka hadharini kwamba hakuwahi kua na ndoto hizo, lakini pia kamwe hatathubutu kugombea uenyekiti akipambana na mwenyekiti wa sasa wa Chadema.
Infact,
Tundu Lisu anafanya siasa za kushinikizwa na kuelekezwa na wanaomfadhili, na kwasababu ya umasikini wake na ugumu wa maisha, kwasababu nae hana namna ya kukataa suala lolote linalo husu pesa.
Kiufupi,
kutumika au kutumiwa kisiasa ni jambo baya sana, ni muhimu mno kujifunza kujitegemea kwa hali na mali kisiasa, kijamii na kiuchumi, ili kuepuka fedheha kama anazopitia muungwana Tundu Lisu.
kila la kheri wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa kwa kujipanga kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Na hiyo ndio kanuni ya uongozi ambayo vyama vingi ndani na nje ya Tanzania vimeshindwa kufanya. Mwishowe vinaishia kugombana na kuparaganyika. Itegemee CCM kuanguka endapo itaacha mfumo wake huu mzuri la sivyo itaendelea kuwepo sana!..CCM inaandaa viongozi wapya, na kulinda viongozi waliotangulia, na familia zao.
..kila anayeingia CCM anajitahidi atajirike, asomeshe wanae academy, kuwapeleka ng'ambo kusoma na kufanya kazi.
Wewe ni nani kwa lissu ? Mjomba , kaka , mke wake, mwanae , meneja wa kampeni za ,jiheshim mkuu, achana na chadema .Endapo atashindwa vibaya sana kua mwenyekiti wa Chadema Taifa kama plan A yake,
Tundu Lisu, atagombea ubunge miongoni mwa majimbo ya uchaguzi katika mkoa wa Singida, kupitia chama kipya cha siasa ambacho bado hakijawekwa wazi bado, lakini ndicho atakachokitumia kugombea ubunge Singida na lakini pia kugombea urasi 2030.
Hatua hii inamaanisha kwamba nafasi ya uenyekiti wa Chadema taifa ndiyo itakayoamua mustakabali wa siasa za Tundu Lisu, kubaki kua siasa za jimbo au kua za siasa za kiharakati kitaifa, kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa Oct 2025.
Hata hivyo,
diasporas na mabwenyenye ya magharibi yanayombackup huyu muungwana yanabaki kuwa remonte control ya kudictact siasa za Tundu Lisu humu nchini, kwasababu pekeyake bado hana uwezo wa kujitegemea kwa hali na mali, bila kubustiwa na wadau wa siasa wa ndani na nje ya nchi, hususani kiuchumi. Njia ya kuomba omba kuchangiwa imeonekana haina uhakika sana ingawa bado ana tamaa ya kufanya hivyo kwasababu ndio hulka yake.
Na hiyo ndiyo weakness yake kubwa zaidi inayomfanya kubabaika dhidi ya maamuzi yake mwenyewe, na hata kufikia mahali kulamba matapishi yake mwenyewe, mathalani kwenye suala la kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, alishawahi kutamka hadharini kwamba hakuwahi kua na ndoto hizo, lakini pia kamwe hatathubutu kugombea uenyekiti akipambana na mwenyekiti wa sasa wa Chadema.
Infact,
Tundu Lisu anafanya siasa za kushinikizwa na kuelekezwa na wanaomfadhili, na kwasababu ya umasikini wake na ugumu wa maisha, kwasababu nae hana namna ya kukataa suala lolote linalo husu pesa.
Kiufupi,
kutumika au kutumiwa kisiasa ni jambo baya sana, ni muhimu mno kujifunza kujitegemea kwa hali na mali kisiasa, kijamii na kiuchumi, ili kuepuka fedheha kama anazopitia muungwana Tundu Lisu.
kila la kheri wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa kwa kujipanga kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Nashauri, endapo akishindwa Uenyekiti kwa Figisu, ahamie ACT, akaunganishe nguvu na Zitto. Wataifanya ACT kuwa chama kikuu cha upinzani. Huko Atakua mgombea Urais 2025.Endapo atashindwa vibaya sana kua mwenyekiti wa Chadema Taifa kama plan A yake,
Tundu Lisu, atagombea ubunge miongoni mwa majimbo ya uchaguzi katika mkoa wa Singida, kupitia chama kipya cha siasa ambacho bado hakijawekwa wazi bado, lakini ndicho atakachokitumia kugombea ubunge Singida na lakini pia kugombea urasi 2030.
Hatua hii inamaanisha kwamba nafasi ya uenyekiti wa Chadema taifa ndiyo itakayoamua mustakabali wa siasa za Tundu Lisu, kubaki kua siasa za jimbo au kua za siasa za kiharakati kitaifa, kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa Oct 2025.
Hata hivyo,
diasporas na mabwenyenye ya magharibi yanayombackup huyu muungwana yanabaki kuwa remonte control ya kudictact siasa za Tundu Lisu humu nchini, kwasababu pekeyake bado hana uwezo wa kujitegemea kwa hali na mali, bila kubustiwa na wadau wa siasa wa ndani na nje ya nchi, hususani kiuchumi. Njia ya kuomba omba kuchangiwa imeonekana haina uhakika sana ingawa bado ana tamaa ya kufanya hivyo kwasababu ndio hulka yake.
Na hiyo ndiyo weakness yake kubwa zaidi inayomfanya kubabaika dhidi ya maamuzi yake mwenyewe, na hata kufikia mahali kulamba matapishi yake mwenyewe, mathalani kwenye suala la kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, alishawahi kutamka hadharini kwamba hakuwahi kua na ndoto hizo, lakini pia kamwe hatathubutu kugombea uenyekiti akipambana na mwenyekiti wa sasa wa Chadema.
Infact,
Tundu Lisu anafanya siasa za kushinikizwa na kuelekezwa na wanaomfadhili, na kwasababu ya umasikini wake na ugumu wa maisha, kwasababu nae hana namna ya kukataa suala lolote linalo husu pesa.
Kiufupi,
kutumika au kutumiwa kisiasa ni jambo baya sana, ni muhimu mno kujifunza kujitegemea kwa hali na mali kisiasa, kijamii na kiuchumi, ili kuepuka fedheha kama anazopitia muungwana Tundu Lisu.
kila la kheri wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa kwa kujipanga kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Amina. Tumtakie afya njema.Endapo atashindwa vibaya sana kua mwenyekiti wa Chadema Taifa kama plan A yake,

Gentleman,Wewe ni nani kwa lissu ? Mjomba , kaka , mke wake, mwanae , meneja wa kampeni za ,jiheshim mkuu, achana na chadema .
Badala uposti yale mabasi ya ccm mlioleta upo na chadema .
Mmenunua pikipiki na kuwapa watu wenu ,leo zipo mtaani zinapiga boda boda,ccm akili hamna , chunguza ayo mapikipiki yenu yanachofanyiwa mtaani ,ni haibu tupu. Yanabeba mpaka matenga ya nyanya na je ndo lilikua sudio la chama kununua mapikipiki ayo?
Hata izo basi tumeona ni makaratasi tu ila baada ya uchaguzi hamtayaona ,wapi yataenda hatujui , na mwanaccm yoyote akijaribu hoji ,kwisha .
Mnatumia nguvu nyingi shambulia upande flani wakati ccm kwa upande wenu hamna Mgombea anaeuzika?
Binafsi nipo chadema ,ila katika upigaji kura huwa naangalia sera za diwani , mbunge n.k bila kujali chama ila kwa Rais kura zangu imekua kwa mgombea Chadema.
Huwezi niletea mtu zezeta kisa yupo chama changu nikampa kura ,huo ni mwiko mkubwa kwangu .
Ccm hamna mgombea anaeuzika na simuon , japo yupo bwana mmoja hivi mkimleta anaweza toa changamoto ,na ni bahati mbaya mfumo umemtenga pamoja na kuwa familia yake imekua na kiongonzi wa kitaifa kama Rais wa nchi hii.
Mmempaka matope kila kona , nawambieni uyo angeweza kuwabebeni japo hata kupata wabunge wachache ,machawa wa ccm hamjui Dunia
good idea but with no healthier future politically speaking 🐒Nashauri, endapo akishindwa Uenyekiti kwa Figisu, ahamie ACT, akaunganishe nguvu na Zitto. Wataifanya ACT kuwa chama kikuu cha upinzani. Huko Atakua mgombea Urais 2025.