Desire mobutu seseseko
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 987
- 1,426
LIPIA TANGAZO SASA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya basi tumekuelewa,okay short time unafanya kwa shilingi ngapi na usiku mzima unafanya kwa shilingi ngapi.Chaguo ni lako dada. Amua uishi maisha duni kama mama na bibi yako kwa kupewa sifa za kijinga kuwa wewe ni wife material ama utafute hela kwa nguvu zote.
View attachment 2636023
Wenzako hatutaki kufa kwa stress, tunastarehe na hela tunapata. Amua moja kutumika na mjinga mmoja unayemuita mumeo ama kutumika na wenye vipato vyao .
Lakini ukae ukijua kutumika ni kutumika tu, haijalishi. .....whether utumiwe na huyo mjinga mwenzako ama utumike na wenye maisha bora .
Nani mjanja? Anayetumika na pesa anayo ya kuchezea ama wewe unayetumika huku ukifubaa na kichakaa? Angalia unavyoteseka hata kupata hela ya kula. Kila siku kiguu na njia kucheza vikoba.
Acha kutafuta sifa za kijinga! Tumia viungo vyako vyote kutafuta hela.
Mwishoe mpigwe shot za miti yenu cjui mtamlilia nan,vitu og ndio vzurNgoja likamilike wapate mpinzani wao
Sasa Kama mnaona unafuu ni kuwa wauzaji sisi tufanyaje?Mwishoe mpigwe shot za miti yenu cjui mtamlilia nan,vitu og ndio vzur
Vumilien,maisha kuvumilianaSasa Kama mnaona unafuu ni kuwa wauzaji sisi tufanyaje?
Nyie mbona hamvumilii Hadi mnataka kuigeuza miili yenu biasharaVumilien,maisha kuvumiliana
Kwahio unataka kushindana na ulipotoka?utaweza?😁😁😁😁😀😀Nyie mbona hamvumilii Hadi mnataka kuigeuza miili yenu biashara
wakizeekaga wanatiaga huruma maana wengi wanakuwaga na watoto na baba tofauti tofauti, halafu hao wanowategemea kuwachuna nao maisha huwa yambadilika na ukizingatia hawana tena mvuto wa kudanga, kama vyeo wanakuwa hawana tena au mungu keshafanya yake, wanaishiaga vibaya sana ,wanaishi very sad lifeNi swala la muda tu. Muda utaongea Hata wema alikuwa binti
Astaghifirullah!!!Chaguo ni lako dada. Amua uishi maisha duni kama mama na bibi yako kwa kupewa sifa za kijinga kuwa wewe ni wife material ama utafute hela kwa nguvu zote.
View attachment 2636023
Wenzako hatutaki kufa kwa stress, tunastarehe na hela tunapata. Amua moja kutumika na mjinga mmoja unayemuita mumeo ama kutumika na wenye vipato vyao .
Lakini ukae ukijua kutumika ni kutumika tu, haijalishi. .....whether utumiwe na huyo mjinga mwenzako ama utumike na wenye maisha bora .
Nani mjanja? Anayetumika na pesa anayo ya kuchezea ama wewe unayetumika huku ukifubaa na kichakaa? Angalia unavyoteseka hata kupata hela ya kula. Kila siku kiguu na njia kucheza vikoba.
Acha kutafuta sifa za kijinga! Tumia viungo vyako vyote kutafuta hela.
Peleka ujinga wenu hukoKwahio unataka kushindana na ulipotoka?utaweza?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
Chaguo ni lako dada. Amua uishi maisha duni kama mama na bibi yako kwa kupewa sifa za kijinga kuwa wewe ni wife material ama utafute hela kwa nguvu zote.
View attachment 2636023
Wenzako hatutaki kufa kwa stress, tunastarehe na hela tunapata. Amua moja kutumika na mjinga mmoja unayemuita mumeo ama kutumika na wenye vipato vyao .
Lakini ukae ukijua kutumika ni kutumika tu, haijalishi. .....whether utumiwe na huyo mjinga mwenzako ama utumike na wenye maisha bora .
Nani mjanja? Anayetumika na pesa anayo ya kuchezea ama wewe unayetumika huku ukifubaa na kichakaa? Angalia unavyoteseka hata kupata hela ya kula. Kila siku kiguu na njia kucheza vikoba.
Acha kutafuta sifa za kijinga! Tumia viungo vyako vyote kutafuta hela.
Siwezi shindana na sijasema hivyo mbona we mkorofi nitakubusu 😅Kwahio unataka kushindana na ulipotoka?utaweza?😁😁😁😁😀😀
Wapo bwanaNionyeshe mwanmke mmoja alietajirika kwa kuuza papa, nami nitakuonyesha mchagga asiependa pesa!
Mleta mada alitakiwa kua chini ya uangalizi wa madaktari bingwa pale Mirembe, usifuate ushauri wake!
Hivi hao ni matajiri eeh*Wema Sepenga.
*Irene Uwoya.
*Jackline Wolper.
*Kajala.
*Lulu Michael
N.k
Kama unadhani ni bongo movie ndiyo inawaweka mjini basi nenda na wewe kaigize uwone kama utatiboa.
Wote hawa Wana sura na shepu za mauzo ndiyo maana wapo mjini na maisha yanaenda