Endelea kuwa wife material huku ukichakaa. Wenzako tunakosa mpk nafasi ya kutunzia minoti


we nawe mpumbavu kumbe?

sasa hao uliowataja ni matajiri kumbe wewe ni kiazi kabisa.

Huyo lulu michael si kaolewa na majizzo na hapo majizzo kamsainisha karatasi kwamba wakiachana hachukui hata 100 mbovu na NI MKE WA MTU.

huyo uwoya ana crown emu toka hapo kwa shemeji yako usogee barabarani uhesabu zinapita crown ngapi kila baada ya dakika2

Au huko najilinji chitohori??

Hovyooooo
 
Leo umeingiza $ ngapi mrembo? Ila haya maisha ni magumu sana mpaka mtu anabakiwa na option moja tu ya kuuza vikojoleo vyake?.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoe Lulu kwenye hiyo list yako
 
Nisitike kwanza. Kuna mmoja alikuaga kama hivi. Alitumia kiungo chake haswa. Guess what?? Leo tunamuuguza. Gonjwa la kisasa plus matawi ya gonjwa. Kizazi chake kina magonjwa mfululizo. Madanga yote, washkaji wote, hakuna anaetaka kumsikia. Ewe mwanamke mwenzangu, nakuomba nisikie, kila unalofanya leo..kwa muda mfupi utaona lina faida, lakini miaka kumi mbele kuna madhara makubwa mno.

Ukiwa mdangaji, jiandae, magonjwa ya kizazi hayatakauka kwako. Kuna faida gani kutesa watu, ndugu zako kukuuguza akati unaweza kuprevent hili saivi. Kuna ambae aliolewa kabisa. Mume wake akawa ana purukushani na wanawake na yeye sasa akaja juu. Akaanza kudanga na anamtambia mume wake live. Wakatengana.

Akaendelea na hela alikua nazo. Tena alikua ameinvest vizuri tu dodoma. Sasa kutokana na stress ya divorce alijikuta ameharibika na mashosti. From kulala na wanaume kadha wa kadha TO kulala na wanawake wenzake. Mbaya zaidi akaingia kwenye madawa ya kulevya. Mali zikaisha..na leo yuko six feet under. Hivi viungo Mungu ameviweka ili tumtukuze and not otherwise. Anyways your life your choice. Choose wisely dear one.
 
refer maisha ya wema sepetu alivyokua mzuri miaka 10 iliyopita na Sasa alivyo huo Ni mfano tosha uzuri una kikomo
Wema bado mrembo ndiyo maana kwa umri wake wa 45+ bado amechukuliwa na msanii Wozhu.

Wanawake wengi wenye miaka 35 (achilia mbali 40 - 45) hawatazamiki, lkn Wema katazamwa na Wozhu mwenye miaka 24
 
Wema bado mrembo ndiyo maana kwa umri wake wa 45+ bado amechukuliwa na msanii Wozhu.

Wanawake wengi wenye miaka 35 (achilia mbali 40 - 45) hawatazamiki, lkn Wema katazamwa na Wozhu mwenye miaka 24
zamani sawa kwa Sasa hana urembo wowote kachakaa na hana mafanikio yoyote sanasana kachakaa sehem za siri
 
Yana mwisho
 
Wanawake wangapi wapo kwenye ndoa hata bajaji hawana? Wangapi wameolewa na waume wenye magari ya kifaharu lkn hawafurahii magari hayo? Yaani magari ni ya waume siyo yao .

Hao niliyowataja Wana gari na nyumba zao
 
Chadema ndivyo inavyowafundisha CC Erythrocyte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…