Endelea kuwa wife material huku ukichakaa. Wenzako tunakosa mpk nafasi ya kutunzia minoti

*Wema Sepenga.
*Irene Uwoya.
*Jackline Wolper.
*Kajala.
*Lulu Michael
N.k
Kama unadhani ni bongo movie ndiyo inawaweka mjini basi nenda na wewe kaigize uwone kama utatiboa.

Wote hawa Wana sura na shepu za mauzo ndiyo maana wapo mjini na maisha yanaenda
Tanzania bana ukiweza kununua vits na benki ukawa na millioni mbili watu wanakuita tajiri hahahahah
Hao wote uliowataja hapo wakipata changamoto ya kiafya inayohitaji kupelekwa India isiyozidi millioni 50 utaona wanavoomba watanzania wawachangia usidanganywe usidanganywe na post za Instagram umeskia mdada wa chuo hao ni maskini kama wewe tu dada angu
 
Chaguo ni lako dada. Amua uishi maisha duni kama mama na bibi yako kwa kupewa sifa za kijinga kuwa wewe ni wife material ama utafute hela kwa nguvu zote.

Wenzako hatutaki kufa kwa stress, tunastarehe na hela tunapata. Amua moja kutumika na mjinga mmoja unayemuita mumeo ama kutumika na wenye vipato vyao .

Lakini ukae ukijua kutumika ni kutumika tu, haijalishi. .....whether utumiwe na huyo mjinga mwenzako ama utumike na wenye maisha bora.

Nani mjanja? Anayetumika na pesa anayo ya kuchezea ama wewe unayetumika huku ukifubaa na kuchakaa? Angalia unavyoteseka hata kupata hela ya kula. Kila siku kiguu na njia kucheza vikoba.

Acha kutafuta sifa za kijinga!
Walioshindwa Wana maneno Sana,siwasikilizagi,Sasa hizo hela mbn hazitoshi hata IST??? Kwa taarifa yako tuko kwenye ndoa,tuna hela zaidi yako na tunaenjoy na tunalea watt na baba zao hatuzaizai hovyo km mbwa kila mtt na baba yake,haitoshi tunafuraha na amani saaaana
 
*Wema Sepenga.
*Irene Uwoya.
*Jackline Wolper.
*Kajala.
*Lulu Michael
N.k
Kama unadhani ni bongo movie ndiyo inawaweka mjini basi nenda na wewe kaigize uwone kama utatiboa.

Wote hawa Wana sura na shepu za mauzo ndiyo maana wapo mjini na maisha yanaenda
Duuuuu .....kwa hii komenti kweli wewe kikaza,hapo ukiachana na luku hao wengine Wana nn zaidi ya idaxi kubwa ya wanaume waliowavua nguo???
 
Ona huyu mwehu,kwahiyo unataka wanawake wote wauze VYUMA!Hilo haliwezekani,The society is heterogenous ni mchanganyiko wa watu wenye tabia tofauti.Ndio mana Kuna wadangaji kama wewe,Kuna familia za wachungaji watoto wao hufata nyindo zao nk Tanzania itakuwa nchi ya aina gani wanawake wote wakifata ushauri huu wa kuuza Nyuchi
 
IMG_0537.jpg
 
Chaguo ni lako dada. Amua uishi maisha duni kama mama na bibi yako kwa kupewa sifa za kijinga kuwa wewe ni wife material ama utafute hela kwa nguvu zote.

Wenzako hatutaki kufa kwa stress, tunastarehe na hela tunapata. Amua moja kutumika na mjinga mmoja unayemuita mumeo ama kutumika na wenye vipato vyao .

Lakini ukae ukijua kutumika ni kutumika tu, haijalishi. .....whether utumiwe na huyo mjinga mwenzako ama utumike na wenye maisha bora.

Nani mjanja? Anayetumika na pesa anayo ya kuchezea ama wewe unayetumika huku ukifubaa na kuchakaa? Angalia unavyoteseka hata kupata hela ya kula. Kila siku kiguu na njia kucheza vikoba.

Acha kutafuta sifa za kijinga!
Ewaaaaaa. Niliwahi kusema utamkuta single mother ana kaduka ka vinywa thamani yake hata 1m haifiki, halafu utamsikia napambana kwa ajili ya mwanangu. Ukweli ni kwamba ukisikia mwanamke anasema napambana jua anadanga. Hivi vibiahshara ni zuga tu na namna ya kutafuta wanaume.

Bora wewe umesema ukweli
 
Single mama
Makahaba
Wauza mbususu
Malaya
WAsio na kazi
huwa na mawazo ya kipumbavuuu
Wapumbavu hufa kwa ujinga wao. Huamini kujiuza ndiyo njia pekee ya kupata kipato
IGAWE UPATE MARADHI UJE TUMIA ULICHOPATA KUJITIBIA
 
Kama hamjajua hili ni TANGAZO LA BIASHARA !! Ni mdangaji gani uliyemwona ana hela kweli kweli? Kwani "wife material" wakiolewa hawapewi magari ya kutembelea na vingine vyote mdangaji anavyopata?

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Chaguo ni lako dada. Amua uishi maisha duni kama mama na bibi yako kwa kupewa sifa za kijinga kuwa wewe ni wife material ama utafute hela kwa nguvu zote.

Wenzako hatutaki kufa kwa stress, tunastarehe na hela tunapata. Amua moja kutumika na mjinga mmoja unayemuita mumeo ama kutumika na wenye vipato vyao .

Lakini ukae ukijua kutumika ni kutumika tu, haijalishi. .....whether utumiwe na huyo mjinga mwenzako ama utumike na wenye maisha bora.

Nani mjanja? Anayetumika na pesa anayo ya kuchezea ama wewe unayetumika huku ukifubaa na kuchakaa? Angalia unavyoteseka hata kupata hela ya kula. Kila siku kiguu na njia kucheza vikoba.

Acha kutafuta sifa za kijinga!
Umalaya utakuua kabla ya wakati wako
 
Anamaanisha, ukipata bwana mwenye hela nenda nae/pita nae, kiufupi anahamasisha wanawake wadange na wajikite katika biashara haramu ya kuuza Vikojoleo/sehemu za siri ili kujikimu.

[emoji23][emoji23]
Ushauri wa kifedhuli. Kumshauri mtu amkosee Muumba wake
 
Back
Top Bottom