Endelea kuwa wife material huku ukichakaa. Wenzako tunakosa mpk nafasi ya kutunzia minoti

kuuza k ni laana muulize wema hata kibanda hana,sijui utakapo zeeka na k ikaanza kuninginia utamuuzia nani, tafuta pesa kwa shughuli halali nawe utafanikiwa
 
Usituharibie wake zetu Tafadhali
 
Kwani "wife material" wakiolewa hawapewi magari ya kutembelea na vingine vyote mdangaji anavyopata?
Wangapi wanapewa magari? Asilimia kubwa huishiwa kuvhoka na kichakaa tu. Kwani hatuwaoni mitaani?

Ile unaolewa tu mtoto anazaliwa majukumu yanaongoezeka. Unakuta hata upande wa kanga kununua inakuwa mtihani.
 
Unafundisha wenzako UMALAYA
 
Wamilikisheni mali basi. Siyo kila kitu umeandika jina lako halafu mke anamiliki k tu.
Wacha wapate akili ya kimalaya kama utakavyo.
Woi wanawake walotokana na biadhara haramu ni tabu sana
 
Wema huyu ambae aliomba msaada watu wamsaidie au yupi?
 
Miaka ijayo,madogo

madogo hawatajua kutongoza,itakuani mwendo wa kununua tu na kuongezeka kwa single mothers.
 
Labda. Anadanga apate msingi(mtaji) wa arakati zingine za kumuinua kimaisha uwezi kuwa na source moja ukatoboa maisha
 
Kikubwa ni ujue pia wakati mzuri wa kufa maana mnasumbuaga sana mkiugua
 
Sasa wewe kila siku unahemewa na wanaume tofauti tofauti, unalambwa lambwa na midume tofauti kila leo, unapokea shahawa tofauti tofauti na unajiona uko timamu? 🗑️🚮

Mtu yeyote anaweza kumtambua mgonjwa wa akili, Daktari anahitajika kuthibitisha tu.
 
Sasa hao uliowataja ndo wametajirikaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo namba moja anafaa kua Huddah Monroe na uzuri hajawahi kuficha,

Vera Sidika japo sasa ameamua kutulia na kuolewa,

Zari the bosslady (role model wa mabinti wengi bila kujua nyuma ya pazia)
Zari the boss lady
Hudda
Vera

Hawa ndio waliotajirika kupitia nyapuu, na sio slays uchwara wa Bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…