Endeleeni Kujidanganya kuwa mtakacheza nao nafasi ya Pili ni timu dhaifu

Endeleeni Kujidanganya kuwa mtakacheza nao nafasi ya Pili ni timu dhaifu

Yaani Wanafunzi Wote mmefaulu kwa kupata Division I halafu kwa Upumbavu wako usio hata na Aibu unajiona Wewe ni Bora kuliko Wengine.

Kuna Watu mnaugua Akili sana tu!!
Waluofungwa ni TP Mazembe lakini kuumia mnaumia nyinyi matutusa, huu ni uchawi.

Kila mtu ashinde mechi zake, na ile kauli ya wakubwa wanaanzia mechi zao ugenini bado mnayo?
 
Timu zilizoshika nafasi ya pili katika makundi ya shirikisho

Kundi A: USM Alger: Huyu alifanikiwa kuongoza kundi D la shirikisho mwaka 2018...aliibugiza Yanga goli 4-0 pale mjini algers katika mechi ya kwanza tu ya ufunguzi wa kundi...itoshe kusema kuwa yanga aliburuza mkia akiwa na jumla ya alama 4 nyuma ya Gormahia,Rayon sport na USM Alger

Kundi B: Rivers United ....huyu aliwazamisha mwiko utopolo nyumbani na ugenini

Kundi C: Pyramids...licha ya Yanga kuihamisha mechi ikachezwe kirumba mwaka 2019...Pyramids walikimaliza kipakti cha Salama kwa goli tayu za kibabe na kule misri waliwafunga utopolo bao 2....Yanga aliaga mashindano ya shirikisho kwa staili hiyo.


Hivyo yanga anakwenda kukutana na wajanja wake na itoshe kusema kuwa wameumaliza mwendo
 
Unapajua misifun broo karibu na mafigaa
Morogoro ni Nyumbani Kwetu pia Mkuu hasa hasa hapo Saba Saba japo nimeishi pia Mazimbu na Misufini.

Huko uliko Mafiga napajua mpaka kule kwa Manzese kwa Wahuni na Masela.
 
Yaani Wanafunzi Wote mmefaulu kwa kupata Division I halafu kwa Upumbavu wako usio hata na Aibu unajiona Wewe ni Bora kuliko Wengine.

Kuna Watu mnaugua Akili sana tu!!
Asilimia 80% ya watanzania wana moja kati ya hili: 1. UJINGA 2. MARADHI 3. UMASKINI.. ila wewe mkuu haupo kwenye hilo kundi njoo huku canada kabla hawajakuharibu
 
Back
Top Bottom