Timu zilizoshika nafasi ya pili katika makundi ya shirikisho
Kundi A: USM Alger: Huyu alifanikiwa kuongoza kundi D la shirikisho mwaka 2018...aliibugiza Yanga goli 4-0 pale mjini algers katika mechi ya kwanza tu ya ufunguzi wa kundi...itoshe kusema kuwa yanga aliburuza mkia akiwa na jumla ya alama 4 nyuma ya Gormahia,Rayon sport na USM Alger
Kundi B: Rivers United ....huyu aliwazamisha mwiko utopolo nyumbani na ugenini
Kundi C: Pyramids...licha ya Yanga kuihamisha mechi ikachezwe kirumba mwaka 2019...Pyramids walikimaliza kipakti cha Salama kwa goli tayu za kibabe na kule misri waliwafunga utopolo bao 2....Yanga aliaga mashindano ya shirikisho kwa staili hiyo.
Hivyo yanga anakwenda kukutana na wajanja wake na itoshe kusema kuwa wameumaliza mwendo