GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
Asante Mkuu na ndiyo maana nikawa Mshindi Tukuka wa Tuzo ya Mwanachama Bora wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums.Uchambuzi bora kabisaa.
Laana zetu Kwao zimezaa Matunda.Nimefurahi sana hao morocco kutolewa maana walivyokuwa wanajisikia na kujiona kama sio waafrika vile na africa imewakataa vile vile 🤣🤣
Badili aina ya Bangi inayovuta sasa.South hawezi kumfunga Morocco
🤣🤣Chuki zenu na Wivu wenu dhidi yangu hapa JamiiForums kutokana na Umaarufu na Mvuto wangu wa Kipekee na Uliotukuka ni Baraka Kubwa sana Kwangu.
Yeremia 1:19.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Wamefanyaje mpaka wewe ukatafsiri kua wanajisikia na kujiona kama sio waafrika vile?Nimefurahi sana hao morocco kutolewa maana walivyokuwa wanajisikia na kujiona kama sio waafrika vile na africa imewakataa vile vile 🤣🤣
pombe za Jana hatari tupuBadili aina ya Bangi inayovuta sasa.
kabisaLaana zetu Kwao zimezaa Matunda.
umesahau walichofanya kombe la dunia kuwashukuru waarabu tuu as if walikuwa wanawakilisha waarabu na sio AfricaWamefanyaje mpaka wewe ukatafsiri kua wanajisikia na kujiona kama sio waafrika vile?
2024Mamelod mara ya mwisho kuchukua cafcl ni lini?
Walitukataa walisema wao sio waafricaumesahau walichofanya kombe la dunia kuwashukuru waarabu tuu as if walikuwa wanawakilisha waarabu na sio Africa
Ok MtaalamMfumo wa Uchezaji wa Mpira wa Afrika Kusini na hata katika Ligi Kuu yao ya PSL unatumika na hata katika Academies zao ni Mpira wa Kasi na Nguvu.
Pia usisahau kuwa sehemu Kubwa ya Afrika Kusini ni Baridi sana hivyo Kisayansi Mtu anayefanya Mazoezi katika Ukanda wa Baridi hulazimika kutumia Nguvu nyingi ili pia kutengeneza Joto la Mwili ili Kulibalansi hali ambayo husaidia kuongeza Kasi ya Mwili kutenda Kazi na hata Mtu Kuwajibika zaidi kuliko wale wanaoishi maeneo ya Joto Kali kama huku Kwetu Afrika Mashariki au kule Sudan.
Hivyo baada ya Vilabu vya Afrika Kusini kujua hilo na Wao Kiufundi wakiwa wanataka Kusajili Wachezaji wa Kimataifa hutumia Vigezo hivi hivi vikubwa Viwili vya kuangalia je, na Wao wanatoka katika nchi zenye Baridi na Ligi zao ni ya matumizi makubwa ya Nguvu na Kasi?
Chunguza hata hao Wachezaji wa Kigeni wa Mamelodi Sundowns FC nchi wanazotoka ni zenye Hali ya Hewa inayofanana na ya Afrika Kusini na Mfumo wa Mpira kama Wao wa Kasi na Nguvu.
Ni haya tu Mkuu wangu. Siku Njema.
Mfumo wa Uchezaji wa Mpira wa Afrika Kusini na hata katika Ligi Kuu yao ya PSL unatumika na hata katika Academies zao ni Mpira wa Kasi na Nguvu.
Pia usisahau kuwa sehemu Kubwa ya Afrika Kusini ni Baridi sana hivyo Kisayansi Mtu anayefanya Mazoezi katika Ukanda wa Baridi hulazimika kutumia Nguvu nyingi ili pia kutengeneza Joto la Mwili ili Kulibalansi hali ambayo husaidia kuongeza Kasi ya Mwili kutenda Kazi na hata Mtu Kuwajibika zaidi kuliko wale wanaoishi maeneo ya Joto Kali kama huku Kwetu Afrika Mashariki au kule Sudan.
Hivyo baada ya Vilabu vya Afrika Kusini kujua hilo na Wao Kiufundi wakiwa wanataka Kusajili Wachezaji wa Kimataifa hutumia Vigezo hivi hivi vikubwa Viwili vya kuangalia je, na Wao wanatoka katika nchi zenye Baridi na Ligi zao ni ya matumizi makubwa ya Nguvu na Kasi?
Chunguza hata hao Wachezaji wa Kigeni wa Mamelodi Sundowns FC nchi wanazotoka ni zenye Hali ya Hewa inayofanana na ya Afrika Kusini na Mfumo wa Mpira kama Wao wa Kasi na Nguvu.
Ni haya tu Mkuu wangu. Siku Njema.
Lazima utakuwa unavuta bangi2024
Super cup? Watu mnaropokwa tu, mamelod ni lini kachukua super cup? Au unamaanisha super league?Mamelody kuchukua supercup mara ya mwisho ni lini na walimfunga nani?
Moroco namwelewa hakimi tu na sio kwa mpira wake bali kulikomesha lile lishangazi lidangajiSijui kwakuwa pia siwapendi kabisa.
Amini kwamba tunabeba huu mwakaLazima utakuwa unavuta bangi