Endeleeni kukariri kama mlivyofanya jana kwa Senegal, ila hata kwa Usiku huu Gwiji la Morocco nalo linaenda Kung'oka AFCON

Endeleeni kukariri kama mlivyofanya jana kwa Senegal, ila hata kwa Usiku huu Gwiji la Morocco nalo linaenda Kung'oka AFCON

HATERS wangu hapa WANAUMIA kweli kweli kwa huu UKWELI wako na KUNIKUBALI Kwako / Kwenu GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" UBARIKIWE na MBARIKIWE nyote. mnaotambua THAMANI yangu ya Kipekee hapa JamiiForums..

Ashukuriwe mno tu Mwenyezi Mungu.

Cc: HATERS Mtani wa Taifa, Ubena Zomozi, Dr Matola PhD, CAPO DELGADO, Omulasil na Wengineo baadhi.
Hapo unajiona umekua Mungu wa Dunia,,Tabiri mwisho wa dunia bas ..foolish..
 
GENTAMYCINE niliposema mapema hapa kuwa Gwiji lingine la Afrika Morocco leo linang'oka si mlikuwa hamniamini?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King Ok?
2027 DP world ,mechi zao zote zichezwe dar mchana au jioni Bangladeshi kabisa
 
Naomba nikutukane, popoma mkubwa wewe!

Kwa nini unawaachia Watanzania wasikilize blah blah za wanaojiita wachambuzi wa soka wakati hapa umetuthibitishia kuwa wewe u mchambuzi mzuri sana kuliko hao wa maredioni na matviini!!??

Kama Mungu kakubariki kipawa/talanta fulani halafu wewe huitumii hiyo talanta/kipawa inavyostahili, humtendei haki Mungu aliyekupa.

Kongole kwa uchambuzi halisi.
Asante sana Mkuu kwa Credits zako.

Ashukuriwe mno tu Mwenyezi Mungu.
 
UTOTO RAHA SANA.

ASANTE MUNGU KWA KUNIEPUSHA NA UJINGA.
For those FOOLISH HATERS of mine led by you, please make sure that you read Jeremiah 1:19 to know how the Almighty Lord God of Heaven guide and bless GENTAMYCINE everywhere and daily.
 
Back
Top Bottom