Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Silaha anatoa kauli tata,HUKU haya yanapamba moto,yawezekana chemchem ya hawa washenzi ipo humu humu nchini, ilisuala linahitaji Stadi ya kina ili kuikausha hiyo chem chemi yao,survailence ya juu inahitajika,ili kujua nyendo za wapuuzi hao na mawasiliano yao!Jamaa wamerudi tena?mungu aepushie mbali maana yawezekana safari hii wamejipanga upya?haiwezekani kama walipelekewa moto mpaka wakavuka mipaka halafu leo warudi.