Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Silaha anatoa kauli tata,HUKU haya yanapamba moto,yawezekana chemchem ya hawa washenzi ipo humu humu nchini, ilisuala linahitaji Stadi ya kina ili kuikausha hiyo chem chemi yao,survailence ya juu inahitajika,ili kujua nyendo za wapuuzi hao na mawasiliano yao!Jamaa wamerudi tena?mungu aepushie mbali maana yawezekana safari hii wamejipanga upya?haiwezekani kama walipelekewa moto mpaka wakavuka mipaka halafu leo warudi.
unapiga kozi na kijitu hakijapita jkt wala mgambo mmebakiza mwezi dogo anakuja kujiunga mnaapa pamoja
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Rafiki yako na Wangu ( yule kutokea Mikoa ya Kusini ) hajakuambia hili au hali ya huko?AIseeee hao "Ma-gay-idd" kwa "Key beat" inabidi wamalizwe kama alivyowamaliza Msukuma.
Rafiki yako na Wangu ( yule kutokea Mikoa ya Kusini ) hajakuambia hili au hali ya huko?
Yeye Mwenyewe alikuweko huko tena alinunuliwa hadi Pikipiki ( Bodaboda ) na Taasisi ili awasome vyema Maadui kwa kujifanya ni Dereva Bodaboda ila kilichomkuta huko na Kukoswakoswa nao sasa hivi tunapishana tu Koridoni Gesti za Kawe na Mademu wa Bwerere tunaowaokota kutoka kwa Kanisa la Mtume wao / wenu Tapeli ( Samjo ) wa Tanganyika Packers Kawe.
Huyo unayempelekea uji walishindwa kumlenga eeh!Na Wageni wa huko Ki-Beat wa safari hii wanaonekana wameiva vyema kwa Shabaha, kwani wanalenga vyema Usoni, Kifuani upande wa ulipo Moyo na Magotini na wakikujia kwa nyuma wanafumua Kisogo na Ubongo kabisa.
Napeleka Uji tukutane LMH leo Jioni.
GENTAMYCIME habari yako inatisha. Kuna task ya chama natakiwa kufanya huko nimeogopa sana. Mazingira yapoje? Je sasa ni wana dili na mabaka tu au mpaka sisi raia?Mwamba aliyeondoka aliwapa Kazi ya Kusaficha Wazee wa Morogoro na hao Wapumbavu na Wahuni walidhibitiwa vilivyo na Wengine hadi Kukimbilia nchi Jirani.
Cha Kushangaza aliyeko sasa anatanguliza Huruma na Imani yake ya Kidini kwa Kuogopa kuruhusu tena Wazee wa Morogoro warejee ili Safari hii siyo tu Wakasafishe hilo Eneo bali Wakangoe hadi Visiki na kusiwe na Takataka zozote tena.
Wengine ( akina GENTAMIYCINE ) mtusamehe tu kwani tuna Upako wa kupata Taarifa tena za Ndani kabisa ama kutoka kwa Watendaji au Mabosi zao huku wakiwa hawajui kuwa huyo wanayemsimulia na kumwambia kwa Kujiamini kwao kabisa ndiyo GENTAMYCINE wa hapa JamiiForums.
Ngoja niandae Uji wa Mgonjwa LMH.
Tafadhali siitwi GENTAMYCIME ambalo ni Parody la Mpumbavu Mmoja aliyekuwa anataka Kusafiria Nyota yangu Kali ya Kiumaarufu hapa JamiiForums bali naitwa GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" sawa?GENTAMYCIME habari yako inatisha. Kuna task ya chama natakiwa kufanya huko nimeogopa sana. Mazingira yapoje? Je sasa ni wana dili na mabaka tu au mpaka sisi raia?
[emoji16] mbona inafunguka mkuu.code kubwa kwangu ni wazee wa morogoro. Hakuna wa kufungua hii
We ni taira na mpumbavu mkubwa unajua nguvu ya raisi kkwenye hii nchii au umechanganyikkiwa kkma anaweza mtoa mkuu wa majeshi kwanini asiwajibike kwenye maswalla ya kiusalamaKwa akili yako lile sakata la mkiru(mkuranga,kibiti,rufiji) lililopita,Kama rais angesema hatua zozote zisichukuliwe ni kweli vyombo vya ulinzi na usalama vingeacha!?..rais anajua nini kuhusu ulinzi na usalama!?
Namshangaa . Tulioish havana tushapadeku long timeHata hii nayo ni "Code" ngumu kufungua?
Kweli tuliosoma Cuba tunazidi kupungua.
Aisee kweli unajua comrade ni rahisi kuchanganya aisee huyu tapeli alikuweza maana m na e siyo rahisi kutofautisha. Asante kwa kunifumbua macho juu ya jina lako mkuu GENTAMYCINETafadhali siitwi GENTAMYCIME ambalo ni Parody la Mpumbavu Mmoja aliyekuwa anataka Kusafiria Nyota yangu Kali ya Kiumaarufu hapa JamiiForums bali naitwa GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" sawa?
Umesema kweli ule ulikuwa ukosefu wa weledi,kuua wauza uji Kwa mgongo wa kusafisha ni dhulma .Suala la kibit haliendi kwa mihemko operation iliyopita ilikua ni ya kuua hadi wasio na hatia ilimrad tu anahisiwa, sasa hata mimi nikiwa na chuki na wewe ilikua naweza kutoa taarifa za uongo na ukatangulizwa kaburini muda wa kuchakata taarifa ulikua hamna hali ilikua mbaya ila ilionekana ni tulivu kwasababu media zilizuiwa kabisa
Angeniweza angeacha Kuitumia hiyo Parody ID? Ni rahisi Kuiiga ID yangu kutokana na Upumbavu wa Mhusika ila ni ngumu sana Kuiga yale yote mazuri ambayo GENTAMYCINE nimebarikiwa nayo na Mwenyezi Mungu.Aisee kweli unajua comrade ni rahisi kuchanganya aisee huyu tapeli alikuweza maana m na e siyo rahisi kutofautisha. Asante kwa kunifumbua macho juu ya jina lako mkuu GENTAMYCINE
oya shortcut ya kwenda mvuha hiyo.Wazee wa 92KJ
Naona umenadi utaahira wakoWe ni taira na mpumbavu mkubwa unajua nguvu ya raisi kkwenye hii nchii au umechanganyikkiwa kkma anaweza mtoa mkuu wa majeshi kwanini asiwajibike kwenye maswalla ya kiusalama