Endeleeni tu kutuficha ya 'Ki-Beat', ila tutaendelea Kuwatembelea Mahospitalini Kwao kuwapa Pole na 'Majeraha' yao makubwa

Ngoja niwaulize wanangu huko wanaendeleaje huko

Ova
 
Ngoja niwaulize wanangu huko wanaendeleaje huko

Ova
Tukutane baadae Alasiri pale LMH kuwatembelea japo kwa sasa katika Chumba chao walioko ( walikowekwa ) Umakini wa Kiulinzi umewekwa ili Wambea kama nyie msiingie au hata Kuchungulia kwa ndani muone wanavyouguza Vidonda vyao, Kuvalishwa Bandage na Kulia kwa kupakwa Spirit Ugokoni.
 

Mluguru wa watu = Gen Mkunda
Kizimkazi Paje Queen = SSH
Boss mstaafu Msukuma = Gen Mabeyo
Aliyeondoka mazima na Israel = Jpm

Kizimkazi paje Queen ,njoo usikilize wajuvi wa mambo huku
 
Aise

Ova
 
Duh!... Kumbe ni ukweli ?
 
Umesema kweli ule ulikuwa ukosefu wa weledi,kuua wauza uji Kwa mgongo wa kusafisha ni dhulma .

Bora Mungu alipotulipia kisasi.
Nani aliyeuawa ambae hakuwa na hatia mjinga wewe? Uliwahi kufika hapo kibiti wakati ule kenge wewe? Mambo ya kiume yaache kwa wanaume wewe ivae pedi hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…