Endesha kwa Umeme, Nishati Safi na Nafuu zaidi Barabarani.

Tanesco sikuhizi mnakata sana umeme jana nikiwa nyumbani maeneo ya chamazi nimeshinda bila umeme hadi kufikia saa kumi na moja jioni ndio ukarudi. Leo mitaa ya kinondoni studio mmekata umeme mchana wote hadi saa kumi ndio umerudi. Suala la kuwa na umeme wa uhakika kwenu haliwezekani au?
 
Wapi hujaelewa Ueleweshwe?
Unahitaji ufafanuzi kwenye nini zaidi ya hapo??????????
Tafadhali angalia "figures" ulizoweka na pia, tunaomba maelezo ya utafauti ili tuweze kukusaidia. Nia yetu ni kukusaidia, mteja wetu. Tunaomba ushirikiano wako.

Asante. ^FL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…