Endesha kwa Umeme, Nishati Safi na Nafuu zaidi Barabarani.

Endesha kwa Umeme, Nishati Safi na Nafuu zaidi Barabarani.

Hivi nani aliwashauri Kodi ya nyumba ilipwe kupitia tanesco.wengine tumepanga lakini kila mwezi tunakatwa 1500 .
Mwenye nyumba hakai hapo hamuoni mnatutesa?
 
Tanesco sikuhizi mnakata sana umeme jana nikiwa nyumbani maeneo ya chamazi nimeshinda bila umeme hadi kufikia saa kumi na moja jioni ndio ukarudi. Leo mitaa ya kinondoni studio mmekata umeme mchana wote hadi saa kumi ndio umerudi. Suala la kuwa na umeme wa uhakika kwenu haliwezekani au?
Habari. ndugu mteja na asante kwa ujumbe wako.

Hua ukiona huduma inasitishwa, haswa kwa masaa marefu hua ni kutokana na matengezo ya miundombinu yetu, katika mchakato wa maboresho, au kukabiliana na hitilafu. Na pia, hua tunatoaga taarifa kwa wateja wetu kupitia mitandao yetu mbali-mbali, ikiwemo makundi yetu ya WhatsApp na taarifa fupi (sms).

Kama, mteja wetu haupo katika hayo makundi, tunaomba tukuunganishe hivi sasa ili usikose taarifa muhimu juu ya huduma zetu na endapo huduma itakatika bila taarifa yoyote ya awali, tunaomba utujulishe mapema ili tuweze kufuatilia na kushughulikia changamoto hiyo kwa haraka.

Unaweza kutuma taarifa ya mawasliano yako ya WhatsApp pamoja na Mkoa, Wilaya na eneo ulilopo katika (inbox) yetu na sisi tutakuunganisha.

Asante. ^FL
 
Tanesko punguzeni bei ya umeme bwawa lina zalisha umeme wa kutosha mnafeli wapi?
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi.

Suala la bei za umeme linasimamiwa na EWURA kwa kushirikiana na wadau mbalimbali. Mchakato huo ni endelevu, na umma utajulishwa kuhusu mabadiliko yoyote pindi utakapofika wakati muafaka.

Asante. ^FL
 
Mlituahidi baada ya bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika umeme ungeshuka Sana Bei ili Kila Mtanzania amudu Matumizi ambayo yangeokoa misitunyetu na kukimbiza uchumi wa nchi lakini naona bado neno gesi linatakiwa nchini

Cha kuwapongeza tuu ni Mmbeboresha Sana kitengo Cha Mahusiano na emergency 👏👏
 
Habari Tanesco
Mimi nimeomba kuunganishiwa umeme wa rea yapata wiki 3 sasa lakini hata control number sijapata japokuwa surveyor alipita kupima
Namba yangu ya simu niliyotumia kuombea umeme ni 0669790525
 
Habari ndugu mteja, asante kwa pongezi.

Suala la bei za umeme linasimamiwa na EWURA kwa kushirikiana na wadau mbalimbali. Mchakato huo ni endelevu, na umma utajulishwa kuhusu mabadiliko yoyote pindi utakapofika wakati muafaka.

Asante. ^FL
 
Habari Tanesco
Mimi nimeomba kuunganishiwa umeme wa rea yapata wiki 3 sasa lakini hata control number sijapata japokuwa surveyor alipita kupima
Namba yangu ya simu niliyotumia kuombea umeme ni 0669790525
Habari Medecin, pole kwa kusubiri huduma. Tumepokea ombi lako namba 021026-0091 kwa utatuzi zaidi.^FL
 
Habari Tanesco
Mimi nimeomba kuunganishiwa umeme wa rea yapata wiki 3 sasa lakini hata control number sijapata japokuwa surveyor alipita kupima
Namba yangu ya simu niliyotumia kuombea umeme ni 0669790525
Habari, ndugu mteja.

Tumefuatilia namba yako maombi na kubaini changamoto yako ambayo tumekutumia katika inbox ya jukwaa hili.

Asante. ^FL
 
Back
Top Bottom